Recent content by Strong Man

  1. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA watafanya nini wakishindwa uchaguzi

    Huyo mzee hakuwahi kuvaa shati la kijani leo anavishwa bila ridhaa yake
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heko JKT

    JKT ikisimamiwa vizuri ni swala zuri kwa ajili ya kujenga uzalendo na ukakamavu. Ukiangalia nchi kama Israel wanamfumo wa kupeleka vijana wao jeshini na kwa wanaofahamu Israel raia wake wana uzalendo mkubwa kwa nchi yao.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako ndani ya mkasi EATV

    Niliwahisikia mtz akikamatwa Kenya kwa sababu yoyote ya uvunjaji wa sheria ya nchi husika hapewi nafasi ya kujitete ni kwa sababu ya majibu ya ujanja ujanja. Nashawishika kuamini kutokana na majibu ya Mzee wa Upako. Kwa kweli ametisha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania muvi hii ya kibongo ina afadhali

    Changamoto bado ni nyingi sana kwenye MV za kibongo ila tutafika tukiacha kuendekeza sembe
Back
Top Bottom