Nakumbuka mwalimu wangu wa historia alitufundisha kuhusu 'barter trade' biashara iliyofanyika kwa kubadilishana vitu kwa vitu kulingana na thamani na uhitaji kwa muda huo.
Mababu zetu walishiriki kwenye hiyo biashara,lakini biashara hiyo ilikuja kuwa na sifa za kutokuwa na usawa baada ya waarabu...
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo...
(verse 1)
Ubavu wangu wa kushoto umeniachia kidonda
Napitia msoto na mwili wote nimekonda
Sina tena furaha zaidi ya stress nahuzuni
Sina raha kama nimelala juu ya kitanda cha kunguni
Ni kweli hali duni ndio yalikuwa maisha
Ni wazi majaribuni ndio mrembo ulipita
Hizi sumuni hazikukidhi haja...
Ni mara nyingi jamii zetu zimekuwa zikiishi katika mifumo ambayo inazorotesha utu na ubinadamu na kufanya maisha yawe ya kinyama.
Jambo la kushangaza ni kuwa watu hawana habari na mabadiliko haya na cha kushangaza zaidi hujikuta wakifurahia,kuumizwa na kushangazwa na mifumo hiyo!
Mifumo hiyo...
Kichwa cha habari hii kinaweza kukufanya ujiulize ulize lakini hali halisi ndiyo hiyo.
Fikiria umeonana na mtu jinsia ke au me kwa mara ya kwanza. Mtu huyo akaanza kukuangalia sana, kila ukigeuza macho unakuta anakutazama.
Kiukweli kichwani utaanza kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Huku...
Naomba kupendekeza jambo moja ambalo sidhani kama linapewa kipaumbele sana kwenye jamii zetu. Sijui ni kwa sababu ya kupuuzia au kuona jambo hili ni dogo.
Kufanya kazi za ndani ni ajira isiyo rasmi lakini ina umuhimu mkubwa katika jamii zetu.
Inapunguza majukumu kuongeza muda wa kufanya mambo...
Surplus is not for you.
Tunapotafuta na kupata, huwa ni juhudi zetu lakini ukweli ni kuwa riziki inapangwa na Mungu.
Mungu anapotujalia ridhiki zetu za kila siku huwa anahakikisha zinakidhi mahitaji(necessaries).
Zisipokidhi mahitaji huwa kuna walakini kwa upande wa muhusika( may be...
Soul viruses
Ni dhahiri kuwa moja Kati ya janga kubwa ni uwepo wa virusi vya ukimwi(HIV) ambavyo vikiingia kwenye mfumo wa damu vinaenda kuharibu kinga ya mwili.
Virusi vya ukimwi huenezwa kwa njia mbali mbali lakini njia kuu ikiwa ni ngono isiyo salama, maambukizi kutoka kwa mama...
Ninachoamini ni kuwa, binadamu ana nafsi ambayo ina jumuisha akili,hisia na maamuzi.
Fikra na mawazo(conscious) yetu ndio sababu ya kila hali au kitu.
Mikosi,laana na nuksi ni matokeo ya fikra zetu kukubali hizo Hali, so nafsi zetu kwenye sehemu ya maamuzi (will) ndio in a accept...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.