Recent content by strawberry1

  1. S

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Kiukweli mambo yamekuwa magumu, huwa najiuliza hivi watz tumerogwa au ni laana? Huwezi amini tumekaa kimya, tunaongelea kwa keyboard na smartphone. Mida hii tulitakiwa tuweko barabarani kuupinga huu ukoloni mamboleo. Tanzania si nchi huru, uhuru wetu uko wapi? Hatuna maji, hatuna makazi bora...
  2. S

    Umaaarufu wa carol light unatokana na nini?

    na aliyekwambia kuwa mjaluo si mwanadamu na hata ukashindwa kumthamini ni nani? Nyie ndo walewale mlokuwa brainwashed. Jaribu kuuthamini utu wako na wa mwenzako otherwise what you are saying is just crap
  3. S

    Vivian..i'm sorry!

    mbona uzi umewataja watu wawili? kuna Vivian kwenye heading, na King'asti katikati ya hiyo mistari. Yupi ni yupi Mentor?
  4. S

    Namuogopa sana lizy!

    ahahahaa, na hicho kichwa akisugua wapi? lol
  5. S

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    jamani kwani FF ndo AshaDii? napata utata kidogo hapa
  6. S

    Nam miss rafiki yangu

    Mie nahisi kama nashambuliwa badala ya kusaidiwa, huyu mtu ni rafiki yangu wa kawaida, na ni mtu wangu wa karibu sasa ukiniambia niwe nyumba ndogo yake unanikosea na sina romantic attraction yeyote kwake. Sasa mtu kuomba ushauri ni dhambi jamani?
  7. S

    Nam miss rafiki yangu

    tehe tehe, uzuri ni kwamba sijawahi mtumia sms wakati wa ucku, na muda huo huwa nimelala. Na sidhani kama hapo umenipa ushauri au la
  8. S

    Nam miss rafiki yangu

    hee! yamekuwa hayo tena?
  9. S

    Nam miss rafiki yangu

    Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status...
  10. S

    Naomba Mnijuze Tafadhali

    Mie binafsi siamini kama kuna connection yoyote hapo, ingawa hata mie Ex-bf wangu ananisumbua akidai alivyokuwa na mie mambo yake yalikuwa shwari yaani alikuwa na bahati ya kufanikiwa mambo yake especially immedeately baada ya kukutana faragha(hope mnaelewa namaanisha nini). So anadai baada ya...
  11. S

    Nisaidieni mawazo, niko mpweke sana

    mmh! kweli ni tatizo jitahidi kujichangamya my dear kwani kwa kujifungia unaweza ishia kucommit suicide. Huwezi jua your mr. right utakutana naye wapi, so kutana na wato, give yourself an outing na Mwombe Mungu sana atakutimizia
  12. S

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    mmh!?!!!!!!! Mie napita tu
  13. S

    kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

    na je, ni kwa nini wanaume huwarushia matusi wanawake tena hadi ya nguoni, pale wananpowatongoza na kuwakataa? This goes to both sides.
  14. S

    Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

    hapo kwenye nyekundu sidhani kama ulimaanisha kusema hivyo, otherwise ni ugoni
  15. S

    Unazikumbuka enzi za Barua!

    Hahahaaa, mie nakumbuka kuna mkaka mmoja alikuwa jirani yetu, nikiwa Form 3, basi akawa akiniandikia barua za kuntongodha, nikamwambia simtaki weee! Akanirudishia majibu kwenye TP(aka Toilet Paper) wee siku hiyo nililia hadi nkaugua
Back
Top Bottom