Nam miss rafiki yangu

strawberry1

Member
May 7, 2011
35
6
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.

Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
 
bila shaka ameshawahi kutuma post hapa jukwaani kuwa wewe huwa unamsumbua na zile simu zako unazopiga usiku wa manane

tehe tehe, uzuri ni kwamba sijawahi mtumia sms wakati wa ucku, na muda huo huwa nimelala. Na sidhani kama hapo umenipa ushauri au la
 
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.

Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
kwenye blue hapo dear,should we say anything more?
 
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.

Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii

'a woman was made to make this world a better place'
that is your own very signature,Straw do you believe in it? and if you do,does romanticizing with a married man make our world a better place? if your answer is yes,kivipi?
 
Mie nahisi kama nashambuliwa badala ya kusaidiwa, huyu mtu ni rafiki yangu wa kawaida, na ni mtu wangu wa karibu sasa ukiniambia niwe nyumba ndogo yake unanikosea na sina romantic attraction yeyote kwake. Sasa mtu kuomba ushauri ni dhambi jamani?
 
JF kipimo cha uvumilivu kuwa ngangari tu achana na majibu yao hayo kwani wewe umewaambia wataka kuwa nyumba ndogo.

Mwaya fanya hivi kuwa karibu na rafiki yako wa kiume kama huna wahi kurudi home jikeep busy na movies au JF mawazo yatapungua
 
Mie nahisi kama nashambuliwa badala ya kusaidiwa, huyu mtu ni rafiki yangu wa kawaida, na ni mtu wangu wa karibu sasa ukiniambia niwe nyumba ndogo yake unanikosea na sina romantic attraction yeyote kwake. Sasa mtu kuomba ushauri ni dhambi jamani?
hayo unayoyasema kama yanakutoka moyoni basi jibu swali hili kwa uadilifu:
Akisafiri kwanini una m miss?
 
Unapohitaji uwepo wake ni kitu gani unategemea kutoka kwake?unahitaji uwe naye kimapenz au mengine?je na yeye anahitaji uwepo wako?
kwa ushauri wangu heri umsahau kwa vile ni mume wa mtu maana baadaye inaweza ikakuletea madhara makubwa.
Hata mimi ilinitokea kuna girl alinitesa,nilikuwa naye karibu na mda mwingi kila anachofanya ananiambia,aliniambia kuwa anataka kuwa karibu na mimi,kwa mwonekano mtu wa mwingine akiona anaweza akasema sisi ni wapenzi,kutokana na hiyo girl kuwa close na mimi nikajikuta nimeshafall in love na hata nikimweleza ukweli anachukulia simple na kuniambia,kumbe mwenzangu alipenda tu kampani yangu kwa vile mi mcheshi,jokes na mengine wakati mi kila siku naumia kichwa.aliposhindwa kujua feelings zangu basi na mimi nikawa namchukulia poa na sijamruhusu afanye tena vitu ambavyo vingekuwa vinagusa feelings zangu.But kama huyo wako kwa vile ana mwingine basi ujue huyo mwingine anahitaji uwepo wake ndo mana wakaona.kwa hiyo kubali matokeo na ujitahidi kucontrrol hisia zako maana mapenzi hayapo automatic kwa mtu mmoja bali ni creation of feelings,so unaweza hata ukacreate feelings kwa mwingine na kumsahau yule ambaye ana mke wake.
 
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.

Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii

Wewe, una miaka 29, halafu unaandika vitu utafikiri uko form 2...yaani tatizo unaliona (hapo kwenye blue) ..halafu bado unang'ang'ania..Acha kujidhalilisha

Ona hapa

Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?

Na kweli una matatizo...ndo maana hata unashindwa kudumisha mapenzi na b/f wako, lakini unataka kukaa na mume wa mtu....halafu unasema unaomba ushauri..? unataka tukushauri nini sasa?? Hili ni janga kabisa
 
hayo unayoyasema kama yanakutoka moyoni basi jibu swali hili kwa uadilifu:
Akisafiri kwanini una m miss?

Nyie nanyi mnashangaza...kwani ukimmiss mtu lazima uwe una mahusiano ya kimapenzi nae??!
Mi nawamiss dada zangu...kaka zangu...marafiki wa kike na wa kiume bila kutaka wala kua na mahusiano ya kimapenzi na yeyote kati yao!!

Pole mwaya kwa kummiss rafikiyo!Kama unataka urafiki wenu unoge jaribu uwe hata rafiki wa mkewe pia ili wote wawe marafiki zako na uwe huru nao wote.
 
Binadamu wa sasa hatabiriki
Leo kasema anam-miss, na anataka awe karibu nae
Kesho keshokutwa atatamani mengine zaidi (binadamu hatabiriki)
Aachane na mume wa mtu, akiitwa dowezi je?
Mshaurini vizuri mwenzenu bana!
Kwani kum-miss kaka ako ndo sawa na kum-miss mume wa mtu?
 
Wewe, una miaka 29, halafu unaandika vitu utafikiri uko form 2...yaani tatizo unaliona (hapo kwenye blue) ..halafu bado unang'ang'ania..Acha kujidhalilisha

Ona hapa

Na kweli una matatizo...ndo maana hata unashindwa kudumisha mapenzi na b/f wako, lakini unataka kukaa na mume wa mtu....halafu unasema unaomba ushauri..? unataka tukushauri nini sasa?? Hili ni janga kabisa

Kwa hizi post zake, bila shaka ana tatizo.
Ana tatizo ambalo yeye hajaligundua na akiambiwa anakataa.
 
Back
Top Bottom