Recent content by Straight

  1. S

    JamiiForums Tanzania Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Simply ur Wasting uR time and Energy.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hamtanifukuza kama akina Mwapamba, Mchange na Shonza halafu yakaishia hapo!! naijua katiba ya chama

    Sasa matatizo yako ya ndani ya chama utasaidiwa hapa JF hau!!! Taratibu huzijui!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika ubora wake leo asubuhi

    ha ha ha haaa.. Wazee wa Kijani na Team Wasaliti sijui kwa nini wanamuhofia sana ndugu yao..!!! Si mara ya kwanza Lowasa kuonekana akifanya mazoez ya kukimbia kama jogging.. Lakin ndugu zangu Le Wasaliti na Kijan povu linawatoka!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Naona Fungu la ku ipromoti ACT Mtandaoni limeongezeka..!!!! Keep in mind Pasco ACT haiendi popote cuz ni kundi la wasaliti..!!! Wala usijichoshe kuangaika kulipigia promo huku sijui na wewe portion yako wamesha kupa. Hakuna kitu kibya kama Njaa.!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Huo mshah ara ni mdogo mno kwa Nehemia.. Kawaida sanaaaa.. CEO wa level yake wapo si chini ya $20k.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Asante Dada Yetu...!!! Tupo Pamoja katika Hili!!!!! Uwajibikaji Ni Muhimu Tusiache Wapite Hivi Hivi..!! Hatuja Jenga Segerea kwa ajili ya Wezi Wa Kuku Tuuu..!!! Hata Hawa Shurti Wasulubiwe.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Kitu Kimoja Inabidi Uelewe Hata Mahakama Yenyewe Kwa Kiasi Kikubwa Tu Inahusika..!! Wakijiudhuru Watakuwa Wametusaidia Cuz Sehemu Ya Majudge Still Wapo Kwenye Mgao..!! Wakijiudhuru Watakuwa Wametusaidia Katika Harakati Pia za Kusuka Mahakama..!!! Kwani na Wenyewe Ni Sehemu Ya Tatizo. Kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

    Mkuu unakosea sana... Benno Ndulu kabla haja kuwa Gavana.. alikuwa anafanya kazi World Bank Na ndiyo alikuwa Lead Economist bahati nzuri alikuwa katika division ya East Africa so alikuwa anafanya kazi pia moja kwa moja na Mh. Rais aliyepita.. kwa taarifa kama ulikuwa hujui ndiye aliye changia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nani mkali wa kuimba chorus bongo?

    Tid... Mnyama..!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kosa la dakika ya 90 kwa UKAWA litawagharimu Watanganyika na Wazanzibar kwa miaka 50+

    Ndo utaelewa sasa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Ndo maana tunasema njaaa inawasumbua nyinyi.. Bila dola wote nyinyi mngekuwa maskin wakubwa... Sasa angalia mawazo yako yote yapo kwenye posho... Inaonyesha ni jins gani CCM wenzenu wapo pale kwa ajili ya posho... Kama mlivyo waingizia kwenye account fanyen kuzirudisha zile mnazi ona mna stahili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kosa la dakika ya 90 kwa UKAWA litawagharimu Watanganyika na Wazanzibar kwa miaka 50+

    Asante sana Kaka kwa taarifa nzuri....
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kosa la dakika ya 90 kwa UKAWA litawagharimu Watanganyika na Wazanzibar kwa miaka 50+

    Unajifanya unajua sana kiswahili... Haya Kakumbia ndiyo nini... Njaa tuu..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kosa la dakika ya 90 kwa UKAWA litawagharimu Watanganyika na Wazanzibar kwa miaka 50+

    Habari ndo hiyo... Aluta Continua... Hawa tunaelekea kuwatoa madarakan kwa nguvu sasa... Naona ndo wanacho hitaji..
  15. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

    Tunatafutiana sababu tu tuonekane hatueshimu sheria za nchi....
Back
Top Bottom