TUNAKUKUMBUKA BABA
KILA siku ulinena na nasi wanao kua tutakukumbuka Tena tutakukumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya Leo tumeanza kukukumbuka baba yetu mzazi.
Leo wale uliotoa uhai wako kisa wao kwa damu YAKO wamekataa hata lile jina lako la wanyonge Baba wamekataa.
Siyo kwakua haliwafai la...
CCM walipandikiza sana watu wao ndani ya vyama vingi vya upinzani wakati wa chaguzi zao sasa ni zamu ya CCM kupandikiziwa virus ndani ya uchaguzi wao.
Nategemea kuona 2024 CCM ikipoteza mitaa mingi sana na idadi kubwa kwa mara yakwanza.
Huu ni mpango mkakati wa kucheka kwa macho kulia kwa moyo...
Kwangu ulikua zaidi ya sayari kubwa moyoni mwangu ulikua zaidi ya mama kwenye maisha yangu ukawa Bibi na Babu kwangu. But now haupo Tena kwenyehimaya yangu acha nikuombeee kwa mungu hukoo uendapo usifanye kama ulivyofanya kwangu.
Usipende kuwa mtesi wa mioyo ya watu wasio na hatia badilika...
Habari wana jukwaa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26
Fundi welding napatikana dar es salaam, Mbagala
natengeneza :-
Milango
Madirisha
Vitanda
Anger
N.k
wanajukwaa
Naomba KAZI
Kwenye
Ofisi
Makampuni
Viwandani
N.k
Mawasiliano
0735989666
Habari wana jukwaa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe
Viwandani
Madukani
Makampuni
N.k
Elimu yangu kidato cha nne
Fani WELDING (UCHOMELEAJI)
NAOMBENI SANA msaaada wenu
0735989666
Habari wana jukwaa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe
Viwandani, Madukani, Makampuni n.k
Elimu yangu kidato cha nne
Fani WELDING (UCHOMELEAJI)
NAOMBENI SANA MSAADA WENU
MAWASILIANO 0735989666
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana?
Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama:
~ Mauaji ya Kibiti.
~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni.
Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana.
Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili?
Mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.