Love from another planet

Love from another planet

Joined
Mar 20, 2022
Posts
27
Reaction score
46
Kwangu ulikua zaidi ya sayari kubwa moyoni mwangu ulikua zaidi ya mama kwenye maisha yangu ukawa Bibi na Babu kwangu. But now haupo Tena kwenyehimaya yangu acha nikuombeee kwa mungu hukoo uendapo usifanye kama ulivyofanya kwangu.
Usipende kuwa mtesi wa mioyo ya watu wasio na hatia badilika mamangu badilika.
Niliwaza kukupa taji la malikia uondoke nalo lakini kwa hili hapana ondoka naushetani wako . Nitapata mpenzi kutoka dunia nyingine LOVE FROM ANOTHER PLANET

[emoji3227][emoji3227][emoji3227][emoji3227]
 
Hili ni ombi la misa kanisan au?
 
Tayari, mtu kachezea chaga😂
Ushauri: songa mbele haikuwa fungu lako...wapo wengi na wanaendelea kuzaliwa Ila usiwekeze nguvu zako na akili yako kwa mtu.
 
Back
Top Bottom