Kweli nimeamini team buku7 ipo na inafanya kazi kama ilivyoamrishwa.
Uzi wa Dr. Slaa/ Mbowe/ Lissu/ Mnyika utawaona wameibuka faster to crush lkn kwingine huwaoni zaidi ya kumsifia professor wa kichina.
Hongereni kwa ajira mbadala kupitia jf.
Hongera Harbinder kwa kutoa ajira kuanzia kwa prof...
Kweli kabisa.
Ni JEMBE linalojua wauza unga lkn likapiga kimya.
JEMBE linalojua wauwa tembo lkn linapiga kimya.
JEMBE linalosign mikataba ya siri kama shukrani kwa mwanawe kutouawa huko China kwa Sembe deal.
Ni JEMBE linalo tetea ufisadi wa E. . . .
Ni jembeeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.