hivi lugha halisi ni meno ya tembo au pembe za ndovu?au zote sahihi?
Kitu ni kilekile meno ya tembo, pembe za ndovu hujaelewa kitu hapo kweli au wewe ni ndugu na Kinana?
hivi lugha halisi ni meno ya tembo au pembe za ndovu?au zote sahihi?
Ok issue sio kuwakamata but ni kile kinachofuata after kukamatwa! Mbona wameshakamatwa wengi tu. Where are they??
Hakuna mahala Uislam unaamrisha kuvunja sheria mpaka pale sheria hiyo itapokuwa inakandamiza Uislam. Kumbuka hilo.
Huo ndio Uslam,lakin kwa nyie wadini so long as mvunja sheria ni Mwenzenu then mtamtea kwa Gharama zote.
Reffer JK na wizi wa Escraw
Unaleta ujinga sasa kuna Muislam aliyetajwa kwenye escrow? au unataka kuanzisha ligi ya udini makusudi tu?
Nani mmiliki wa Simba trust ?