Recent content by stonekj

  1. stonekj

    Press Release: Reaction of TOAM to the article shared to Jamii Forum.

    This is a reaction of TOAM to the article that was published in various sites including Belgium and later shared to Jamii Forum. The article provided incorrect statement involving Tanzanian farmers to sell uncertified seeds or seeds that are under the current Tanzanian Plant Breeders Rights...
  2. stonekj

  3. stonekj

    Msaada: Kuondoa screen overlay detected & ku-change permission settings kwa Samsung J7.

    Asante sana asee, hii yako imenisaidia na tatizo naona limeisha kabisaa.
  4. stonekj

    Msaada: Kuondoa screen overlay detected & ku-change permission settings kwa Samsung J7.

    Habari za majukumu wakuu. Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings. Hiki kitu kinanizuia hata kudownload kitu chochote kupitia google na hata apps zingine haziwezi kufunguka kwa sababu itakwambia screen...
  5. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Thanks mkuu But hakutakuwa na risk zozote za kununua iyo used, mana nahofia kununua used pengine kulingana na experience yako unaweza kunishauri
  6. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Mkuu jana nimefanyia kazi ushauri wako hasa kuikubali Desire Eye, lakini nimefanya market survey pamoja na nia ya kutaka kununua kabisa maeneo ya kariakoo, cha ajabu zile simu sijapata brand new, maduka mengi niliyopita nimeambiwa wanaleta na wanauza used tu. Je ni kweli hizi simu zipo used tu...
  7. stonekj

    Online dating

    Aahaha hahaa iyo ni noumaa mkuu, na ndo ukute ushajiandaa kumeet na mrembo alokucost a lot of air time, daah.
  8. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Poa poa mkuu, nimepata kitu hapo.
  9. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Asante mkuu kwa kushare experience na mimi.
  10. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Much respect mkuu. Nimeridhika na ushauri wako, Hope nitaufanyia kazi.
  11. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Ushauri mzuri mkuu, Ila ntajuaje hii ni snapdragon 810 na hii ni snapdragon 801. Pengine kuna njia ya kucheki iyo kitu unaweza kunisaidia mana mpaka hapa nishaelewa ushauri wako.
  12. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Asante mkuu Inamaana facebook haisupport au apps ya facebook ndo haisupport au hata kuingia kupitia google napo nis shida?
  13. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Asante mkuu Ninayo budget ya kuanzia 400 hadi 500+ ila itakuwa determined na ubora wa iyo simu japo ndo natafuta msaada wa kuepuka changa la macho juu ya ubora.
  14. stonekj

    Msaada: Mwenye uzoefu juu ya ubora wa simu za HTC

    Hapa nielekeze mkuu nisije nikanunua kimeo mana ndo mara ya kwanza nataka nikanunue. So nipe msaada jinsi ya kuepuka kununua kimeo
Back
Top Bottom