Recent content by stomatollogia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania’'s ’wasted’ golden opportunity

    Kweli BASHITE ni BASHITE. Hata kujifunza Huwezi. Hujui anachokisema LISSU na hujui kama hujui mbaya zaidi Hutaki kujifunza yaani umeng'ang'ania UJINGA
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania’'s ’wasted’ golden opportunity

    unaweza kuwa na safari ama lengo jema ila ukapita njia Mbaya/mbovu tena unatembea KIBWEGE napo tukusapoti tu?, kwa nini tusikupinge na kukushauri njia bora zaidi?, Sasa jemedari huyu asie taka ushauri akiamini anajua kila kitu na matokeo yake ana haribu. Hakuna namna ni kumpinga tu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

    JiBASHITEGE tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Mkuu si kakurupuka.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkutano wa CHADEMA umekosa mvuto?

    JIBASHITEGE (0%).
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama upinzani ungekuwa madarakani Ukoloni ungerudi tena.

    Hata Mikataba ya KIBWEGE mtasema wamepitisha wapinzani.........,msivyo na Aibu. Leo mnaomba sapoti kwenye Uzalendo UCHWARA.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Facts: Huenda Tundu Lissu anatumiwa na wamiliki wa migodi

    H Ajielewi huyo anajikurupusha tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Facts: Huenda Tundu Lissu anatumiwa na wamiliki wa migodi

    Mkitoka EDA Muwe mnauliza kwanza yaliyojiri sio Kuja na hoja za KiBASHITE-BASHITE.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

    Analazimishaga aonekane mzaleeendo. As From now KILA MTU AJIOMBEE MWENYEWE.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Madini: Maftah Nachuma ampinga Tundu Lissu

    Anataka tujue ujinga tulifanyia wapi ili kesho tusirudie. Sio kunivisha UZALENDO tusiostahili.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtu ambaye haungi Mkono Juhudi za JPM tumsaidiaje?

    Kwani LAZIMA kuunga mkono MAZINGAOMBWE?,kama we umeona vinafaa ungana nao. Ss tuliunga mkono kutafakari na kuichambua MISWADA yenu ya Mliyoileta kwa hati ya DHARULA.mkajifanya NDIYOOOOOOOsasa leo mnasema NN?.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

    kama mlijaza mikataba ya kibwege na hamtaki ku-review badala yake mnaleta usanii ACACIA wafanyeje?, ama unajibashite makusudi?.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

    Ninani aliyewaleta hao WEZI na nani aliyepitisha Mikataba ya hovyo.....hao unajifanya huwajui?, huyo Shizonje alikuwa wapi kipindi hicho?, Anasemaje kuhusu mi hiyo mikataba? Mbona haiweki mezani anaichungulia vichochoroni?.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzalendo Tundu Lissu

    MABASHITE ya chama cha MASOGANGE ndivyo yalivyo mkuu. Nchi yameharibu yenyewe lawama kwa wapinzani.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mzalendo Tundu Lissu

    Mkitoka EDA muwe mnavuta subira na kufuatilia/kutafakari kabla hamja HEMKA.
Back
Top Bottom