mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,225
Wakuu heshima kwenu,
Kuna uchunguzi mimi mtwa mkulu niliingia kuufanya hasa wakati wa awamu iliyopita. Niligundua kuwa baadhi ya vijana machachari kipindi kile kutoka upinzani walikuwa wakipiga hela nyingi kwa kuwatisha vigogo kuwa wamepata tuhuma na ili wasitoe taarifa bungeni wanahitaji kiwango kikubwa cha fedha. Nilipata taarifa hizi ila kwa kukosa ushahidi wa wazi nilishindwa kulianika.
Wiki hii baada ya kupata hotuba ya mwanasheria mbobezi Tundu Lissu niliumia sana kwani niliona akijishushia credibility yake nikapata shaka sana iwapo nia akili yake. Katika taarifa za siri ambazo mtoa taarifa wangu amenipa ni kuwa Tundu Lissu amefanya kazi katika baraza la maaskofu Tanzania yaani CCT wakati fulani kitengo cha haki za binadamu..
Wakati huo alipigania sana haki za wananchi waliokuwa wakinyanyaswa katika migodi kama tunavyotambua kuwa watanzania wengi walinyanyasika sana hasa awamu ile ya Tatu. Mtoa taarifa huyo ambae ni kiongozi wa kanisa moja wapo kati ya makanisa yanayounda CCT amenitonya kuwa Tundu Lissu amewahi kutoa hotuba kuhusu madini iliyowaliza maaskofu.
Siku za badae kuna kesi dhidi ya mgodi furani unaoshutumiwa sana kukiuka haki za binadamu hapa nchini ilianzishwa na Tundu Lissu akiwa si chini ya hawa wa CCT tena alionekana kuwa mwiba mkubwa kwa mabwenyenye. Nitautaja mgodi huo uchunguzi wangu ukikamilika. Hawa jamaa walimuhonga Lissu jumba la kifahari na hivyo kumfanya awe kimya kuongelea masuala ya madini, na pale ambapo maslahi ya watu wa magharibi yakiguswa Tundu Lissu hawezi kukubali kwasababu ni mabwana zake na kuna kitu ananufaika.
Wito wangu: Serikali imchunguze bwana huyu ili itakapobainika asiachiwe bila kujali yatazungumzwa yapi. Yapo mambo mengi ambayo yalihitaji ushiriki wa mwanasheria huyu mfano ni watu wengi waliofukiwa katika mgodi kule Geita nyakati zile za kifo cha baba wa taifa. Star TV wanayo video lakini nguli huyu anakalia akili mfukoni na kuthubutu kueneza uongo usio kuwa na maslahi na taifa.