Tanzania’'s ’wasted’ golden opportunity

Paskali, kusema wa kuchonga unamaanisha nini sasa, kwamba anaigiza uzalendo?
Kwenye mikoa yote ya pembezoni, watu wa pande zote hujichanganya na kuzungumza lugha ya hapo mahali lakini tabia na matendo yao ndio huwabainisha asili zao. Hivyo kuzaliwa tuu mahali na kuzungumza tuu lugha wenyeji hakukufanyi uwe miongoni mwao, unakuwa ni mmoja wao kwa kuchongwa tuu kutokana na kuzungumza lugha yao.

Tunaviongozi wengi wa kuchonga tuu, tungetumia DNA kubaini asili za viongozi wetu wakuu watu mngeshangaa!.

Paskali
 
Thamani ya dhahabu iliyochimbwa tangu 2001 mpaka 2007 ni $3 billioni, thamani ya pesa ambazo Tanzania imepata kama mrahaba kutokana na dhahabu hiyo iliyochimbwa kwa miaka sita ni $90 millioni! Wacha waendelee kuificha mikataba ya uchimbaji wa dhahabu. Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu.

Wageni wanatajirika kwa rasilimali zetu sisi tunaendelea kutoona mafanikio yeyote kutokana na rasilimali hizo.
I agree with you sir. It is time to start being dead serious with our reources.
 
Kwenye mikoa yote ya pembezoni, watu wa pande zote hujichanganya na kuzungumza lugha ya hapo mahali lakini tabia na matendo yao ndio huwabainisha asili zao. Hivyo kuzaliwa tuu mahali na kuzungumza tuu lugha wenyeji hakukufanyi uwe miongoni mwao, unakuwa ni mmoja wao kwa kuchongwa tuu kutokana na kuzungumza lugha yao.

Tunaviongozi wengi wa kuchonga tuu, tungetumia DNA kubaini asili za viongozi wetu wakuu watu mngeshangaa!.

Paskali
Be more explicit sir. You have hidden your intentions a little bit. Can you come out in the open Sir.
 
Shemeji Tetty, kama nilivyosema mambo ni mengi, hawezi kufanya kila kitu at the same time hivyo lazima apange na kupanga ni kuchagua, tumwache apange, tusimpangie!.

Paskali

Labda kwa sababu alisema hashauriki,lakini kwanini kujijazia amdaraka wakati Tanzania ni zaidi ya Mke na watoto watano?
 
He said around $57m on unpaid corporation tax was lost based on what just two companies -- Anglo Gold Ashanti and Barrick Gold Corp. -- declared as their gross profits.
Furthermore, he said $132.5m of tax evasion discovered by an Alex Stuart Assayers audit together with $25m unconfirmed royalty payments and $50m failed to be set aside by the mining companies for environmental rehabilitations, also amounted to lost income.

On his part, Lissu said on community development, the Ashanti and Geita gold mines spent only 700m/- in supporting various communal services in areas surrounding the mines although they exported gold worth billions of shillings.
Hapa tunatafuta mzalendo au kuwa kitu kimoja kuyaokoa madini yetu
Kama Tundu A. Lissu hapo mwanzo alipiga kelele kuhusu kuibiwa kwetu Madini na hao Ashantu Gold Mine iweje leo anampinga Rais wetu asichukue hatua kuwa tunaibiwa?
Kwa nini Tundu Lissu yupo upande wa GGM kuwa tutashitakiwa, unamsaidia mwizi??
Watanzania na sisi ni wajinga na waoga kama tutawasikiliza baadhi ya wanaCHADEMA
Huko Korea ya Kaskazini ka bwana mdogo tena kanakata punk kameivimbia Dunia ya Trump (si USA) na wote kimya hakuna wa kumshtaki na uharo na kufyata mkia, mpaka USA leo kasema keshayajaribu Antu-missile zake za kudestroy makombora ya Korea Kaskazini km yatalengwa kwake au Korea kusini
nisiwachoshe MY TAKE kwangu
TUNDU LISSU SI MZALENDO na kichwa yake ni mapovu tupu hajui km sasa anakula matapishi yake ya kiporo pale alipotuambia tunaibiwa, sasa anasema mwizi ana nguvu sana atatushtaki tumuachie tu mchanga auchukua
MAGUFULI Rais wangu hebu komaa Dunia na sisi itujue na hizo Mahakama hatuendi km Burundi, Akusini na wengine
pili usisafiri kabisa kwani walichomfanya Noriega tutakulilia aki hapahapa Chato, Dom na Dsm
karibuni kwa michango ya mitusi watu wa Antipass
 
Shemeji Tetty safari ni hatua, charity begins at home na kupanga ni kuchagua. Maadamu ameonyesha nia na dhamira ya dhati kupinga ufisadi kwa kauli na matendo, mwache aanze na popote alipochagua yeye akimaliza atafika kote huko unakotaka wewe Shemeji Tetty, tusikalie tuu kulaumu kila wakati na kwenye mazuri anayofanya Ng'wana Ngosha huyu wa kuchonga, pia tuyapongeze.

Paskali
unaweza kuwa na safari ama lengo jema ila ukapita njia Mbaya/mbovu tena unatembea KIBWEGE napo tukusapoti tu?, kwa nini tusikupinge na kukushauri njia bora zaidi?, Sasa jemedari huyu asie taka ushauri akiamini anajua kila kitu na matokeo yake ana haribu. Hakuna namna ni kumpinga tu.
 
Hapa tunatafuta mzalendo au kuwa kitu kimoja kuyaokoa madini yetu
Kama Tundu A. Lissu hapo mwanzo alipiga kelele kuhusu kuibiwa kwetu Madini na hao Ashantu Gold Mine iweje leo anampinga Rais wetu asichukue hatua kuwa tunaibiwa?
Kwa nini Tundu Lissu yupo upande wa GGM kuwa tutashitakiwa, unamsaidia mwizi??
Watanzania na sisi ni wajinga na waoga kama tutawasikiliza baadhi ya wanaCHADEMA
Huko Korea ya Kaskazini ka bwana mdogo tena kanakata punk kameivimbia Dunia ya Trump (si USA) na wote kimya hakuna wa kumshtaki na uharo na kufyata mkia, mpaka USA leo kasema keshayajaribu Antu-missile zake za kudestroy makombora ya Korea Kaskazini km yatalengwa kwake au Korea kusini
nisiwachoshe MY TAKE kwangu
TUNDU LISSU SI MZALENDO na kichwa yake ni mapovu tupu hajui km sasa anakula matapishi yake ya kiporo pale alipotuambia tunaibiwa, sasa anasema mwizi ana nguvu sana atatushtaki tumuachie tu mchanga auchukua
MAGUFULI Rais wangu hebu komaa Dunia na sisi itujue na hizo Mahakama hatuendi km Burundi, Akusini na wengine
pili usisafiri kabisa kwani walichomfanya Noriega tutakulilia aki hapahapa Chato, Dom na Dsm
karibuni kwa michango ya mitusi watu wa Antipass
Kweli BASHITE ni BASHITE. Hata kujifunza Huwezi. Hujui anachokisema LISSU na hujui kama hujui mbaya zaidi Hutaki kujifunza yaani umeng'ang'ania UJINGA
 
Kuna mahali Lissu amepinga??Anataka Serikali iache kukurupuka afuate sheria ili kuweza kushinda vita.Msidhani hapa ni kama kuvuta kokoro.Mliwapa ralismali zetu wenyewe huku mkipewa hongo za vyeo.Huyo Kalemani hivi leo ana hata hiyo Moral authority ya kuwa Waziri??

Hivi ni lini nyie vijana mtajua hao akina JPM wanwadanganya hakuna kitu kwenye mchanga.Hivi Mchanga unadhahabu nying kuliko mawe yenyewe ya dhahabu??

Hivi kwenye kilo moja ya dhahabu iliyochenjuliwa mnapata kiasi gani??

Upumbavu mwingine malizieni huko Lumumba
 
Kuna mahali Lissu amepinga??Anataka Serikali iache kukurupuka afuate sheria ili kuweza kushinda vita.Msidhani hapa ni kama kuvuta kokoro.Mliwapa ralismali zetu wenyewe huku mkipewa hongo za vyeo.Huyo Kalemani hivi leo ana hata hiyo Moral authority ya kuwa Waziri??
Upumbavu mwingine malizieni huko Lumumba
kwa ujinga wenu mliolishwa na TUNDU LISSU msitutishe eti kuna Kesi
mali yangu. udongo wangu bado uniibie
eti Nchi hii tutashtakiwa NA NANI?
basi kaeni na ujinga wenu dongo wala dhahabu sasa havitatoka, Mikataba yote ivunjwe
UKOLONI mamboleo sasa basi, msitulazimisha eti MIKATABA HAIVUNJWI
Mwambieni Tuindu Lissu aiulize Marekani Korea kaskazini iko na nani ndio awashtaki kokote hata The Hague kwa kurusha Makombora lkn si Udongo wetu wa Tanzanua
 
Kweli BASHITE ni BASHITE. Hata kujifunza Huwezi. Hujui anachokisema LISSU na hujui kama hujui mbaya zaidi Hutaki kujifunza yaani umeng'ang'ania UJINGA
acha matusi jibu Hoja
wewe unaweza kuibiwa liMWILI lako na usilipwe kwa kutishwa na TUNDU LISSU
eti nikajifunze kwa nani
jamani udongo wetu leo tumesema basi hatutauchimba ninyi mnasema Mkataba ni miaka 99
eti ni kimataifa. Zimbabwe kakataa Korea kakataa mnatulicha upunga?
 
kwa ujinga wenu mliolishwa na TUNDU LISSU msitutishe eti kuna Kesi
mali yangu. udongo wangu bado uniibie
eti Nchi hii tutashtakiwa NA NANI?
basi kaeni na ujinga wenu dongo wala dhahabu sasa havitatoka, Mikataba yote ivunjwe
UKOLONI mamboleo sasa basi, msitulazimisha eti MIKATABA HAIVUNJWI
Mwambieni Tuindu Lissu aiulize Marekani Korea kaskazini iko na nani ndio awashtaki kokote hata The Hague kwa kurusha Makombora lkn si Udongo wetu wa Tanzanua

Kama mali yenu mbona mmewasainisha wazungu kama mali yao??Na aliyewasaidia kupata hiyo mali ndiyo Naibu waziri wa Nishati na MAdini.Mko busy na akina Lissu waliowaambia miaka 17 iliyopita leo waliowaingiza mkenge ndiyo Naibu waziri wa Nishati na madini,halafu oh Rais anapiga vita rushwa weeeeee,msitudanganye angepiga vita rushwa na huyo jamaa angevuliwa ubunge akatupwa selo tu.

Lakini sababu ya unafiki hata upuuzi mnataka tuupigie makofi
 
Back
Top Bottom