Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kufuatia juhudi kubwa inayofanywa na Rais Magufuli ktk kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinawanufaisha watanzania wote lakini baada ya sakata la madawa ya kulevya na hili la mchanga wa dhahabu kushika kasi ktk vyombo vya habari na mitandao ktk kupinga kinachofanywa na Serikali.

Ni moja kwa moja Rais Magufuli anahangaika na watanzania ambayo kumbe hawaipendi nchi yao na rasilimali zao wao kuibiwa ni sawa tu kwao.

Ukisoma comment utafikiri wanaotoa hizo comment si watanzania.

Kwa mantinki hii inaonyesha ni jinsi gani nchi hii tunapenda mambo ya kuibaiba Sasa kwa awamu hii Mwisho umefika.

Mtaenda kwenye mahakama za kimataifa hiyo mtajua wenyewe ila wizi wa rasilimali Sasa basi na yoyote Mwenye channel hiyo kichwa chake halali yetu.Hakuna kurudi nyuma.

Tutakutoa meno na koleo au macho na sindano au korodani na moto wa gas hiyo siku ikifika utajua.

Wizi wa rasilimali za Tanzania Mwisho ni awamu ya Tano.
 
kumbe nawe umeona... watu wameshakuwa na chuki za jumlajumla hata mtu akipatia! hawajui mtu huyo ameshika dhamana ya nchi.
kuna watu wapo macho kukandia serikali kukosea tu mpk huwa nashangaa
wanapenda kuona mabaya wapate ya kuongea muda mwengine watu wanatakiwa wawe na utafakari hii ni nchi ya nani..?
 
Tukikumbuka ya samaki wa Magufuli,tunaona tunaenda kupigwa hela kwa mara nyingine chini ya kukurupuka na taarifa za kupika!
 
Ni bora kuwa wawazi kuliko kujidanganya na mambo hewa!I am 100% confident kuwa taarifa ya tume si sahihi!
 
Tukikumbuka ya samaki wa Magufuli,tunaona tunaenda kupigwa hela kwa mara nyingine chini ya kukurupuka na taarifa za kupika!
Ni lini ukaiweka nyuma nchi yako hata kama njia inakosewa, unatakiwa kujua lengo kuu hasa ni mini na hata kama ni kukosoa na kushauri si kwa aina hii mnayoitumia. Tunashindwa kuwaelewa wenzetu nyie ni watanzania wa wapi. Kukosea kupo ndo maana tunakosea lakini haikupi nafasi ya kukashifu na kuponda kama zezeta, vi siasa hivi uchwara visiwafanye mkafika sehemu ya kuiona nchi yenu kama kinyesi.
 
Tatizo ni kasumba ya kusema ikifeli imefeli CCM, au wakiunga mkono watakuwa wanaiunga mkono CCM. Wengi mfumo wao wa maisha ni umimi kisha usiasa halafu uzalendo, badala ya uzalendo kisha umimi halafu usiasa. Kwao uzalendo kwanza imewapita kushoto. Halafu wanadhani kwamba wanaikomoa CCM kumbe ni kuwakomoa watanzania wote wakiwemo na wao.
 
Bado hatujajua kesi ya samaki iliishaje halafu unatutonesha vidonda. Watu wanaipenda nchi hii sana ndo maana wanajaribu kusaidia viongozi kwa kutumia vifungu vya sheria za kitaifa na kimataifa ili kusaidia. Hebu fikiria kese tulizo nazo mahakamani kwa sasa kuhusu hii mikataba Mlau wewe kama ni mwanasheria tusaidie bila kuwa biased na mambo ya siasa maana wengine siasa na sisi mbali mbali. How are you going to win the appeal of masamaki and then win Tannesco and now the accasia while it was our government which endosed all these bogus contracts and signed them. Waliosign ni majini?
 
watu wamenyanyaswa sana bungeni kwa kupinga uwiz huo kipindi hicho. Tatizo ccm mnadharau na maji yakifika shingoni ndo mnakumbuka nchi ni yetu sote. Wakati wa kuingia mikataba mnaneglect hoja ya mtu mwingine yeyote nje ya chama chenu. Chochote kinacho tokea sasa ikiwemo mgawanyiko mmekipanda wenyewe
 
Tukikumbuka ya samaki wa Magufuli,tunaona tunaenda kupigwa hela kwa mara nyingine chini ya kukurupuka na taarifa za kupika!
Taarifa za kupika kwa faida ya nani? Ili iweje? Hebu acheni hizo bwana hatuwezi kuwa tunaibiwa hapa then tunachekeana tu.

Tundu Lissu Mwenyewe kwa mdomo wake anasema tunapigwa ile mbaya na Hays mazungu kwa ujinga wetu.

Rais Magufuli anajaribu hata kuamua kunusuri hicho kilichobaki bado tunaona mbaya hivi tunataka nini watanzania?

Nani huyo aliyeturogo kiasi cha kutofungua fahamu zako wewe na usomi wako una degree moja unacheka na kushabikia wizi,una degree mbili unashangilia wizi kabisa una degree tatu ndiyo kabisa unapiga na mluzi kusherekea wizi wa rasilimali za nchi,hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi.

Hatuwezi Kuona wachache wanamsema vibaya Rais Magufuli Rais wa Jamhuri na sisi tuliyeapa kuilinda nchi hii tutakaa kimya
 
We acha tu, kwanza wanataka n kuomba ACACIA washinde, watuburuze! Imenishangaza sana mkuu, siamini nachosoma kwao..
Wanataka au nivitu viko wazi?hakuna anayepinga anachofanya watu wanapinga utaratibu anaotumia kua badae unamadhara kwetu kisheria.na yeye anawataalam wa sheria imekuaje wasimshauri.tunataman hawa wawekezaji hewa hata iibidi wafuzwe na mikataba iwe mifupi yenye tija kwa nch lakin kwanjia ya kufata sheria.au kama hatufat sheria bas tutumie ubabe natusikubali kwenda mahakaman
 
kumbe nawe umeona... watu wameshakuwa na chuki za jumlajumla hata mtu akipatia! hawajui mtu huyo ameshika dhamana ya nchi.
kuna watu wapo macho kukandia serikali kukosea tu mpk huwa nashangaa
wanapenda kuona mabaya wapate ya kuongea muda mwengine watu wanatakiwa wawe na utafakari hii ni nchi ya nani..?
Ninani aliyewaleta hao WEZI na nani aliyepitisha Mikataba ya hovyo.....hao unajifanya huwajui?, huyo Shizonje alikuwa wapi kipindi hicho?, Anasemaje kuhusu mi hiyo mikataba? Mbona haiweki mezani anaichungulia vichochoroni?.
 
Taarifa za kupika kwa faida ya nani? Ili iweje? Hebu acheni hizo bwana hatuwezi kuwa tunaibiwa hapa then tunachekeana tu.

Tundu Lissu Mwenyewe kwa mdomo wake anasema tunapigwa ile mbaya na Hays mazungu kwa ujinga wetu.

Rais Magufuli anajaribu hata kuamua kunusuri hicho kilichobaki bado tunaona mbaya hivi tunataka nini watanzania?

Nani huyo aliyeturogo kiasi cha kutofungua fahamu zako wewe na usomi wako una degree moja unacheka na kushabikia wizi,una degree mbili unashangilia wizi kabisa una degree tatu ndiyo kabisa unapiga na mluzi kusherekea wizi wa rasilimali za nchi,hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi.

Hatuwezi Kuona wachache wanamsema vibaya Rais Magufuli Rais wa Jamhuri na sisi tuliyeapa kuilinda nchi hii tutakaa kimya
Kwa akili hizi za watz tunahitaji kutawaliwa tena na wakoloni,, maana uhuru haujatusaidia kitu zaidi ya kutuongeza ujinga na kubweteka,, siasa mpaka kwenye mambo ya msingi,, ni aibu!
sijui watz tunataka nini? na hii nchi wasomi walioenda shule ni wanaoongoza kwa ujinga,,, jpm dai mikopo kwa wahitimu wa vyuo mpaka wale waliokufa tayari,, maana hawana maana kabisa wajiitao wasomi na wamesomea hela za serikali ila ndo wapingaji wakubwa
 
Wanataka au nivitu viko wazi?hakuna anayepinga anachofanya watu wanapinga utaratibu anaotumia kua badae unamadhara kwetu kisheria.na yeye anawataalam wa sheria imekuaje wasimshauri.tunataman hawa wawekezaji hewa hata iibidi wafuzwe na mikataba iwe mifupi yenye tija kwa nch lakin kwanjia ya kufata sheria.au kama hatufat sheria bas tutumie ubabe natusikubali kwenda mahakaman
Umejuaje kama hatutatumia ubabe? maana ni kawaida yenu kusema jpm ni mbabe kila sehemu!

Unga mkono na mtoe ushauri sio kukosoa na kukejeli tu
 
Wao wenyewe ndio wameleta majanga yote haya....
Kwani wakati yanapitishwa wao hawakuwepo....?
 
Back
Top Bottom