1.Kampuni ya Wasafi Limited ndio Yenye Wasafi TV? Au Wasafi TV ipo chini ya Kampuni nyingine?
2.WCB Music Label ipo chini ya Kampuni gani? Wasafi Limited au ipi?
3.Wasafi Limited, Wasafi TV, Wasafi Fm, WCB Music Label Kuna uhusiano gani?
Jifunze kuhoji na sio kukurupuka