Recent content by stinger_bug

  1. stinger_bug

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo aongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa na kukagua mpaka wa Tanzania na Msumbiji

    Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar ni Unguja na Pemba. ISIS ni kundi lililotokana na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda ulioanzishwa na Osama bin Ladin. Kundi hili baada ya kupata mafanikio huko Iraq na Syria, linaendelea ku-inspire na kusaidia uundwaji wa matawi Asia na Afrika. Pamoja na...
  2. stinger_bug

    Jijue, wewe ni beberu

    Hizo zote ni sifa za serikali ya awamu ya,tano. SERIKALI HII NI YA MABEBERU
  3. stinger_bug

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Mnyonge ni wewe, wazazi wako, ndugu zako na watoto wako. Acha kuwavika unyonge watanzania majasiri. #MimiSioMnyonge Mungu yupo upande wetu, sisi siyo wanyonge. Ushindwe na harakati zako za kuwavika unyonge watanzania.
  4. stinger_bug

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Buhari alishapotea mpaka wakazusha kuwa Buhari alifariki wakamweka mtu anayefanana naye akalie kiti. Nakumbuka ilikuwa kazi sana kuwashawishi wanigeria.
  5. stinger_bug

    Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

    Unamaanisha hata huyo aliyesimama hana ufahamu wa kutosha? Kwanini asitumie PhD aliyosomea kuelewa vitu basic asubiri mpaka wamshauri?
  6. stinger_bug

    Kuna mazingira yanafanya iwe halali kuondoa uongozi uliopo madarakani kwa nguvu bila uchaguzi

    Hakutishi mkuu. Ni ishara njema kuwa watanzania wameanza kujitambua. UNYONGE MWIKO.
  7. stinger_bug

    Nchi za Afrika kufungiana mipaka: Je, tutafika?

    Afrika hakuna nchi zinazoweza kujitegemea.
  8. stinger_bug

    Waziri Jafo aweka wazi hali ya uandikishaji orodha ya wapiga kura, Dar yaongoza

    Utakamatwa. Hata ukionekana umesimama njiani unaweza kulazwa gerezani.
  9. stinger_bug

    Waziri Jafo aweka wazi hali ya uandikishaji orodha ya wapiga kura, Dar yaongoza

    Aisee. Pamoja na hamasa za 2014 na vurumai zile zote??? Hata mtoto mdogo anajua kuwa kuna kitu cha ziada.
  10. stinger_bug

    Watanzania milioni 19.9 wajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Usishangae sana. Hata upigaji kura utavuka asilimia za waliojiandikisha.
  11. stinger_bug

    Watanzania milioni 19.9 wajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    This is pure cooking of data. Hiyo nyongeza ya zaidi ya watu milioni 10 waliojiandikisha kwa siku 3 ilitokea wapi? Mbona hatukuona hiyo misururu? Maajabu ya awamu ya tano.
  12. stinger_bug

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo aongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa na kukagua mpaka wa Tanzania na Msumbiji

    God forbid. Kuna eneo kubwa la msumbiji tayari limetekwa na ISIS ambao wanawavutia vijana wengi wa Tanzania na Zanzibar kwa mafunzo ya ugaidi. Hii ni hatari kubwa sana kwa usalama wa nchi yetu. Badala ya kulinda mpaka pekee, inabidi Msumbiji isaidiwe kwa kupeleka vikosi vya kusaidia...
  13. stinger_bug

    Wanasheria: Toeni ufafanuzi suala la ICSID

    Kwani hatujui kusoma kingereza? Au soma gazeti la Mwananchi. Kila kitu kipo wazi kabisa. Huyo msemaji kama ana hukumu yake angeiweka mezani tusome wenyewe. Haina tija kusikiliza porojo.
  14. stinger_bug

    Wanasheria: Toeni ufafanuzi suala la ICSID

    Hata ukisoma mwenyewe tu utaelewa. Usitake kuwapoteza watu muda.
Back
Top Bottom