Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,820
- 29,091
Ni lazima ujijue kama una virusi vya ubeberu, haijalishi wewe ni CCM au CHADEMA, au ACT-Wazalendo:
Kwa kuanzia ukiwa na hizo qualities wewe ni BEBERU.
- Kama unaota kifo cha mtanzania mwenzako, hasa kiongozi, kama mabeberu original wanaotaka regime change
- Kama wewe unafurahia shida za watanzania hasa wanyonge
- Kama shida za wengine ndio mtaji wako wa kibiashara
- Kama unaungana na wasio watanzania kukandamiza watanzania/wanyonge
- Kama hupendelei maendeleo ya aina yoyote nchi, we ni kukosoa tu
- Kusababisha kifo kwa mtanzania mwenzako
- Kutowapenda watanzania wenzako na kukosa uzalendo
- Ukiwa mkabila, mdini au mpenda ubaguzi wa aina yoyote
- Kujilimbikizia mali isivyo halali na kupeleka vijisenti Uswisi
- Kutukuza wazungu waliokutawala bila kuwa na mikakati mbadala ya kuiendeleza nchi.
- Kupendelea kufanya kazi za umma na maksmpuni ya nje badala ya wazawa
Kwa kuanzia ukiwa na hizo qualities wewe ni BEBERU.
