Recent content by StillWaters

  1. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Moro(V) nataka kuhamia Moro Mjini.
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Moro(V) nataka kuhamia Mjini.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bubujiko la mishara kwa walimu

    Tupatie chanzo cha habari hiyo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Soma mtazamo huu na uchangie; Very interesting!

    Ndugu yangu Mtoi mimekuelewa vizuri na nimegundua kuwa kwa mtazamo wako ni kwamba waislamu Tanzania hawako sahihi katika kile wanachodai kuwa wanafanyiwa dhuluma hasa kile wanachopigia kilele yaani Mfumo Kristo.Umejaribu kutoa au kuelezea kwa mifano nafasi ambazo waislam wameshika ktk...
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Korogwe upo shule gani na Morogoro unataka kuhamia wilaya gani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm niko Tanga jiji anayetaka kuhamia kutoka Morogoro mjini tuwasiliane 0787767654 na 0659146615
  7. S

    JamiiForums Tanzania Advice

    Utapata.
  8. S

    JamiiForums Tanzania graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C unahamia D auto

    Acha uwongo bwana nani kakwambia bankteller analipwa 1.2m?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Nasikia amekula shavu la mkuu wa shule. Mbona watakoma!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Mataba mzee wa misosi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    Kaka asante kwa kutujuza halihalisi ya UDSM kwa level ya Master degree maana nilikuwa na mpango wa kufanya Master degree ya Education Management and Administration.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Unawakumbuka mafisi babu na bwich bwaiz.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lindi High School

    Wapi Erick Mnene, Tizo the Killer, Jamali Juma aka waKishua, Masime, Kashamba na wengine kibao wazee Torabora camp 2002-2004.
Back
Top Bottom