Lindi High School

Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote.

yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka.
 
Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya.
 
Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two
 
Back
Top Bottom