amba.nkya hata UD walikuwa wana pass mark za 50% katika baadhi ya kozi, kama enzi zile wakati Muhimbili ilikuwa tawi lao. Na mpaka sasa Muhimbili University pass mark zao ni 50%.
Afadhali umeliona hilo kuna baadhi ya vyuo hasa hivyo mnavyoviita vya kata ktk kozi zote kama hujapata above 50% unahesabika umefail,utalinganisha vp na UD ambao hawana kigezo hicho ambapo mtu akipata hata 48% anahesabika amefaulu. Tulikuwa na mabinti kibao hapo UD yaani yeye asome asisome lazima afaulu hiyo kozi,je kwa mtu kama huyu atamjuaje kwa kuangalia tu cheti chake na kumconsider kama amefaulu? Tunao vijana maofisin na ni product ya UD hawana kitu kabisa wanaburuzwa sana na hao vijana toka vyuo vingine hasa kwenye Research hapo ndo hamna kitu kabisa yaani inakuwa inabid tuwe tunawafunza kwanza ni balaa! mfano unakuta UD 78 ni A lakini kwa hivyo vyuo vingine mnavyoita vya kata ni B+,je utampa nani nafas ya Masters ikiwa hivyo na huyo wa UD GPA yake iko juu? Waajiri ndo wanaojua kipi ni Chuo bora,acheni propaganda za kushabikia UD ovyo ovyo UD ya sasa si kama ile ya zamani na kuna vyuo vinafanya vizuri sana hapa nchini kwa sasa!