Wanabodi,
Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa sasa.
Mfano mzuri ni huu wa kuzuia wabunge wa upinzani kufanya mikutano kwa Uhuru na wapiga kura...
Kinachotuchanganya zaidi ni hao watekaji kutumia gari hiyo hiyo kumrudisha MO hadi Gymkana bila kukamatwa japo ulinzi umeimarishwa kila kona.
Hii haihitaji elimu yoyote ya upelelezi kung'amua kuwa kuna mchezo mchafu nyuma ya pazia.
Ndugu wanabodi,
Ukiiangalia press ya IGP kisha ukaangalia majigambo ya Mambosasa akinesha gari iliyotajwa na IGP kuwa imepatikana na MO akiwa salama kabisa lazima utagundua kuwa kuna picha imechezwa hapa
Lakini yote kwa yote tumshukuru Mungu MO kapatikana salama
Aksante.
Ndugu wanabodi,
Utafiti mdogo unaonesha kuwa hakuna mbunge wa viti maalum alieunga juhudi za Rais.
Wengi tumekuwa tukijiuliza kwanini wao hawaungi mkono juhudi kwa kujiuzulu?
Baada ya kuwauliza wengi wanasema kuwa wao kama wabunge wa viti maalum wakijiuzulu hawatapata tena nafasi ya ubunge kwa...
Sio wapinzani tu wanaohamia CCM,hata watumishi wa umma wanapelekewa fomu za kujiorodheshs kuwa wao ni wanachama wazalendo wa CCM na wanajiorodhesha. Vinginevyo unaitwa si mzalendo na kubaguliwa kama una ukoma.
Unaishangaa Chadema kwa hoja IPI? Kwa sababu mbunge wao alikuwepo na kama ulitaka na Mbowe awepo ulipaswa kuanza kumshangaa JPM kama rais na mwenyekiti wa CCM hakwenda kuzika walipa kodi,wanyonge na wapiga kura wake
Ndugu wanabodi;
Ajali ya MV Nyerere imeleta msiba wa kitaifa ambapo zaidi ya Watanzania wenzetu 225 wamepoteza maisha.
Idadi hiyo ni kubwa sana kwa taifa letu. Hivyo ni matarajio yangu kuwa hill si suala LA kutuma uwakilishi Bali viongozi wote wa kitaifa wa vyama vya siasa,madhehebu ya dini na...
Ndugu wanabodi:
Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli?
Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania...
Wanabodi;
Nianze kwa kukumbushia msimamo wa Rais wa JMT kuwa katiba mpya si kipaumbele chake. Lakini kwa namna mambo yanavyokwenda bado inambidi aikubali katiba pendekezwa ya Warioba.
Imekuwa ni kawaida sasa kusikia Rais kafanya uteuzi Fulani.Yaani toka ameingia madarakani ni miaka mitatu...
La ! Nimekimbilia kutafuta rekodi za 2015 nikakuta kweli wapiga kura waliopiga kura walikuwa 60000.
Leo hii ni kweli wameongezeka hadi 69000. Kwa akili ya kawaida haiwezekani idadi ya wapiga kura kuongezeka kwani kuna suala LA watu kuhama kikazi au kimaisha ya utafutaji,kusafiri,kuzeeka na...
Wrote nyinyi hamjui mlisemalo.Lengo LA JPM ni kutupeleka kwenye mfumo wa chama kimoja. Huko ndiko sehemu sahihi ya kura ya ndio mzee.Lakini duniani note mfumo wa vyama vingi kuna kura ya ndio na hapana
Ndugu wanabodi;
Mengi yamesemwa juu ya hii hamahama ya wabunge na madiwani kwenda CCM.
Wahusika wenyewe wa hii hamahama wanasema wamehama kwa lengo LA kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli huku wengine wakisema wamekimbia migogoro na figisufigisu ndani ya vyama vyao.
VWadau wa vyama...
Lissu alishakwambia tatizo lake kwa sasa ni mguu wake si akili ya kichwani
. Yeye ni mzima kiakili na uwezo wake wa kujenga hoja ni uleule kama ulivyomsikia live au kwa maandishi.
Hivyo wewe acha upotoshaji kuwa ana msongo wa mawazo. Unachopaswa ni kujibu hoja zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.