Recent content by Sticky_fingers

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo endapo serikali itachapisha noti nyingi zaidi ila halali ili kuwa na hela nyingi?

    Hapa nimekuelewa vizuri sana. Shukurani.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo endapo serikali itachapisha noti nyingi zaidi ila halali ili kuwa na hela nyingi?

    Kwa mimi mtu baye sio mtaalam wa uchumi, sijaelewa uchumi utashuka vipi wakati pesa iko nyingi? Standard of living si ndio itapanda sasa maana nitaweza nunua nachotaka? Ebu nieleweshe ndugu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo endapo serikali itachapisha noti nyingi zaidi ila halali ili kuwa na hela nyingi?

    Tunaposema serikali imekopa au serikali haina hela, je serikali yenyewe haiwezi chapisha noti nyingi na ambazo ni halali ili iwe na pesa nyingi na iweze kuwa serikali tajiri? Ni nani anawazuia kufanya uamuzi huu au madhara yake ni yapi? Naombeni wataalam mnisaidie. Sio eneo langu hilo hivyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Salamu nyingine kwa miss natafuta

    3
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

    Mwanga una spidi ya light? Mwanga ndio light.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mapenzi na wanawake wenye asili ya Afrika

    Hujaolewa? Hujawahi olewa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mapenzi na wanawake wenye asili ya Afrika

    Hapana, kujikita sehemu moja ndio racism.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mapenzi na wanawake wenye asili ya Afrika

    Nafikiria kuachana naa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mbunge wa upinzani anavyopigwa na mwanajeshi mafichoni, utawala wa mabavu huu sasa

    Kulikuwa na haja ya kuweka picha ya uongo? Hii inatoa credibility ya ulicoandika. Hii ni picha ya comoro kitambo. Weka hayo maneno kwenye google translator uielewe kidogo. Lugha hiyo ni kifaransa. Link hii hapa Bofya hapa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais asiyesafiri nje ya nchi yake hajiamini, haiamini timu inayomzunguka

    mkuu si umesema marais? Magufuli ni rais. Hivyo mtu akitolea mfano wa rais ambaye anaona anaendana na uzi wako yuko sahihi.
Back
Top Bottom