Recent content by STEVENSAMWEL

  1. STEVENSAMWEL

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Nishakuelewa sasa, goja niendelee na mazoezi
  2. STEVENSAMWEL

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Mkuu mimi ninachoomba kujua hukiki [emoji116][emoji116] naomba unisaidie Hivi ikisambaa mwili mzima wakati wa kutoka, unafumbua macho kwa namna gani ili uone kama umetoka
  3. STEVENSAMWEL

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Mkuu Hivi ikisambaa mwili mzima wakati wa kutoka, unafumbua macho kwa namna gani ili uone kama umetoka?
  4. STEVENSAMWEL

    Tahajudi (meditation) imenisadia sana

    Nisaidie mkuu, nina siku nyingi sana najaribu nashindwa pamoja na astra projection
  5. STEVENSAMWEL

    Msaada: Jinsi ya kublock SMS

    Hii haifanyi kazi kwa halotel?
  6. STEVENSAMWEL

    Chanjo ya covid-19 kutua hivi karibuni

    Uingereza hata leo unashambuliwa na ongezeko la wagonjwa wa Covid 19 na huku wanaanza kutoa chanjo c waanzie wenyewe huko kwn lazima waanzie huku, sisapoti hii kitu na ninaomba serikali ya Tz isikubali hii kitu, Mungu atusaidie sana.
  7. STEVENSAMWEL

    Nini kinazuia mji wa Moshi kuwa Jiji?

    Itakuwaje jiji na huku viongozi wao wakiwa bungeni mala wasuse bunge mala wazibe midomo ili wasiongee nq hayo ndo matokeo yake
  8. STEVENSAMWEL

    Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

    Hatari sana haya mambo tusipokuwa makin yatatukosti sisi wenye njaa, hapo ukute kakatiwa hata buku 10 tu na matokeo yake ndo hayo ss
Back
Top Bottom