Malezi yetu Vijana akati mwingine huwa comedy Sana. Wazazi wamejitahidi kadili ya uwezo wao, ila kijana unawangusha hatari. Sio kwamba siye wengine ni wakamilifu la hasha. Mwenzetu umevuka mipaka. Yani azalishe 3ltr kwa siku ili mtoto ashibe na asaze!?
Hivi unajua mchakato wa uzalishaji maziwa...
Mkuu Kuna tofauti Kati ya ""50/50 Profit Sharing na 50/50 Economic Benefits"". Tuwe na umakini kidogo kwenye issue hii.
Mbaya zaidi haijaelezewa vizuri kwa kina utakuwaje huo mgawanyo.
Mniunganishe kwa hao wanawake wenye Elimu na hela. Mbona hawaonekani!?.
Ila nionanvyo mapenzi yana version tofauti Sana kwa sasa. Zama zimebadilika mnoo, nasi tunapaswa tubadilike.
Post #1 Hadi #228, ukisoma vizuri kwa umakini majibu anayotoa mlengwa naona Tone haishabiiani.
Topic hii naona kama ni Indirect method ya kutafuta kitu.
Big Brains watanielewa
Hahahahhaaaha.
When an Asset became a Liability.
Baba nimefungua kampuni, nikaona nimpe mwanangu ila nikiwa bado nimemuweka kwapani kwa kisingizio cha mwanahisa mwenye hisa nyingi. Baadaye dogo anazingua , natumia ukubwa wangu kumtuliza dogo atulie nyumbani. Halafu me baba ake nasonga mbele...
Safi Sana mkuu, angalao wewe umeona hii kitu kwa jicho la pili.
Tunakoelekea mbeleni resources za Dunia umilikaji wake unafanyiwa overhaul
Mfano kwenye Diamond, huwezi fanya biashara ya Diamond ukamruka De beers.
Hii sasa inakuja kwenye Gold, tunakoelekea transactions zake itakuwa Kama Diamond...
Mkuu hujui unachoandika, mambo mengine jifunze kuwa msomaji ama kuuliza ili ueleweshwe , sio ukurupuke na kuwaita watu ni wahuni. Muda utaongea mtu wangu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.