Vingine ni kuumbwa navyo sio lazima seminary ndugu zangu think broad brotherz wengine wanAweza kufanya vizuri sana kwenye jamii kupita hata hao walioenda seminary.ni neema tuu ya mungu.
Kuna hatari kubwa sector ya afya kua mbovu kihuduma kama siasa inaingilia taaluma zisizowahusu mnaaharibu systems za utoaji huduma kiujumla.na pia huduma ya afya haitatolewa kama selikali zilizopita.mnaleta siasa kazini mnatarajia huduma zitakua bora? Sasa mnawaletea hofu na kupungua kwa nguvu...
Ila kweli. Hii ndo serikali ya (..)..ovyo sana.mnaingilia sector zisizo za kwenu...tenaa?? Kuna hatari ya madaktari kugoma..maana mwakajana na hata mwaka huu..sector ya afya imeingiliwa kiasi kikubwa.mwisho wa siku hawa viongoz wa siasa nyingi tutawaachia wakatibu wao.tuone ...wamezidi...
Hivi nyie mnaowasema hawa viongozi kuwasema kua ni mafisadi kwamfano ukikamatwa utoe ushahidi alichokifanya lowassa utaeleza nn na vithibitisho unavyo??? Hebu acheni kujitakia dhamb zczo KUA na gharama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.