Recent content by Steven mushi mushi

  1. Steven mushi mushi

    Hivi Alikiba naye ana bodyguard?

    Mambo madogo sana haya huna haja ya kubweka
  2. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Tayari nilishamzungumzia kipindi cha nyuma jaribu kuutafuta huo uzi umsome
  3. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Ndiyo mkuu tembo ana aina kuu mbili ambazo huzitumia wakati wa kulala. Ya kwanza ni kwamba tembo anaweza kulala akiwa amesimama na hii ni kutokana na yeye kuwa na miguu kama meza ambayo humwezesha yeye kulala bila tatizo lolote akiwa amesimama na kwa kama umebahatika kutembea hifadhini nyakati...
  4. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Tofauti ni kwamba tembo wa Africa ni wakubwa ukilinganisha na tembo wa Asia pia meno ya tembo wa Africa ni makubwa kuliko ya tembo wa Asia pia tembo wa Asia mara nyingi hutumika kama urembo mfano huwatumia katika kupamba harusi pamoja na kubeba mizigo lakini kwa Africa tembo wetu tunawatumia...
  5. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Hutumika kutengeneza daga pamoja na vitu vingine vya urembo ambavyo garama yake ni kubwa hasahasa katika nchi za kiarabu kama yemen ambayo biashara hii ya meno ya tembo ndo hufanyika
  6. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Ni kweli tembo huzikana na eneo walilozikia hukaa pale kwa siku kadhaa wakiomboleza kifo cha mwenzao na pia huweka hapo matawi ya miti na hudondosha chozi la huzuni wakimlilia mwenzao aliyefariki
  7. Steven mushi mushi

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Spidi yake ni kilometers 40 kwa saa kuhusu kugeuka gafla hilo hawezi kutokana na kuwa na uzito mkubwa pamoja na umbo lake lakini ana uwezo mkubwa wa kukimbia kwenye milima
  8. Steven mushi mushi

    Hivi Alikiba naye ana bodyguard?

    Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi kumuona hata siku moja akiwa na bodyguard na ndio maana nauliza kama naye ana bodyguard wa kumlinda.
  9. Steven mushi mushi

    Alikiba fanya kile unachoweza, acha kushindana na Diamond

    Ni kweli unakipaji cha mziki lakini kwa Diamond bado sana yaani uwezo wako ni mdogo mno hata haufikii nusu ya robo ya uwezo alionao diamond . Diamond yeye ni msanii wa kimataifa hilo lipo wazi na wewe ni msanii wa hapahapa huo ndo uwezo wako inabidi tu ukubaliane nao. Diamond anafanya kolabo na...
  10. Steven mushi mushi

    Hii ndo sababu kubwa ya kwanini ulevi hauwezi kuisha Rombo

    Daa kwa uzinzi iringa wanatisha kwangu mimi wale ndo namba moja
Back
Top Bottom