Recent content by SteveMollel

  1. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA

    Ni namba ndo inafungiwa kutumika katika huduma mbalimbali kama vile kusajili na kuhuisha namba ya simu.
  2. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Brother, chochote kile unachokiona mbele ya macho yako kinaweza kukutoa ama kukudidimiza. Hamna guarantee popote pale. Mali ni AKILI yako tu. Kuna unachokidharau ila amini usiamini kuna mwenye akili alikitumia hikohiko akajikomboa na kufika ngazi fulani. Mimi nikiwa nimesoma mpaka chuo kikuu...
  3. SteveMollel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kula wake za watu: bado unakikumbuka kitu gani kutoka kwa mke wa mtu ambacho hautakisahau?

    Inabana enh? ... Hata yako itabana siku hiyo.
  4. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuingia Katika vitabu Vya historia yaDunia. Ni Baada ya Kualikwa na Mataifa mawili Tofauti kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya uhuru wao

    Hivi wakati ukiwa unaandika, tena maneno mengi hivi, haupatagi hata hisia za aibu?
  5. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Acha excuse za kipuuzi. Uwanja umewashinda serikali na ujinga wao kwenye kuutunza. Ulitaka CAF waupeleke tu mchezo wa fainali sehemu ambayo hata nusu fainali ilishindwa chezeka hapo? We jifariji na majoto wenzako wanaondoka na kombe.
  6. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Mchangieni, brother.
  7. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Hiki ndo nilichosema. Na kadiri unavyozidi kuharibu ndo' unavyozidi kupata sababu za kung'ang'ania.
  8. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Maji yaliyotulia.
  9. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Kweli unafuatilia. Ahsante mkuu. Itabidi niingie chimbo tena.
  10. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Nilipumzika kidogo baada ya mambo ya vpn kuwa kikwazo. Watu wengi wakawa wanashindwa kuacess telegram.
  11. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Ahsante sana, Dialogist. Amani ni zao la haki.
  12. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Ushawahi kuishi nao?
  13. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Ahsante, Mandingo.
  14. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

    Pamoja sana, mwanetu.
Back
Top Bottom