Yaaani ukisoma vizuri post unaona jamaa yupo against na wabongo waishio huku kwasababu kabase upande mmoja tuu kwani huko bongo hawapo hao mateja na wabeba box au vinyozi?inshort ingekuwa hivyi basi wasingekuwa wanamiminika huku badala ya kurudi.kuishi kwa kupigana madongo ndy kikubwa...
Tatizo unataka kujua ishu za wabongo waishio south halafu unamtafuta msouth ndy akupeleke sehemu za wabongo badala ya kutafuta muhusika mmojawapo.wenye ishu za maana wapo tena wengi wanaishi na familia zao fresh.
Unaongopea jamii ndy maana una jazba kidogo tuu.sasa matusi ya nini au jamaa kaandika nini kilichokufanya ukasirike hadi utumie maneno magumu.acha kutengeneza hadithi au kuchukua hadith ulizo hadithiwa na mtu.
Mie nipo port elizaberth.mie najishugulisha na biashara za vinyago katika malls.pia wapo watu wana maduka na bar pamoja ma workshop za magari.huyo mwandishi kaongelea "falls za wabongo na sio "Rise za wabongo Sa
Ha ha ha ha!we jamaa safari yako yote umebahatika kukutana na wabongo wasiojielewa tuu na mitaa uliyotembelea huwezi kumkuta mbongo anaefanya ishu zake muhimu akae huko.njoo siku nyingine tukutembeze viwanja vyetu tuone kama utatamani kurudi kwa bashite.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.