Ona tofauti ya shirikisho la mpira la Tanzania na Sudan!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
590bfbe1f09fdb5a9558d56c894fbae5.jpg
66e2fad3ae51702172d94001c5e5be9d.jpg

Mnaochaguliwa kesho kutwa fanyeni ya msingi achaneni na mawazo ya deal mtafungwa!

Mobile Traveller
 
hio office ni ya sudan hii nnayo ijua mimi kila siku vita au sudan ipi ..manake ni step kubwa sana kwa nchi yenye vita kias kile
 
Hiii ya kwetu inatosha kwa mahitaji ya sasa kikubwa matokeo mazuri katika team na vilabu vyetu soka sio jengo au majengo

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Sudan Footbal Association.
Tanzania Footbal Federation.
Naona wenzetu wana
Association
Na sisi tuna Federation

Ivi tofauti yake ninini ?

Taasisi ipi iko juu hapo ?
 
Ni hatari harafu lim2 linalalamika eti nimeonewa...pumbavu kabisa mmepiga mabilion ya fedha ,mnashindwa kujenga hata office ona sasa 2navyodhalilika
 
Bongo viongozi wanaendekeza sanaa matumbooo yaani mpaka mtu unapata hasiraa kufikia extent ya kusema acha tu wafungwe.
 
hio office ni ya sudan hii nnayo ijua mimi kila siku vita au sudan ipi ..manake ni step kubwa sana kwa nchi yenye vita kias kile
Hii ni Sudan ile yenye timu inaitwa El Merrekhe ile timu aliyokataa kwenda Anko Ngasa kwa mapenzi yake kwa Yanga.. Wanalipa mishahara mpaka milion 22 kwa mwezi kwa baadhi ya wachezaji.... Usajili wao mpaka bilion 1...so usishangae jengo la federation yao...
 
TFF ni moja Ya Taasisi ambaYo haita kuja pata kiongoz Mzalendo kamwe

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni Sudan ile yenye timu inaitwa El Merrekhe ile timu aliyokataa kwenda Anko Ngasa kwa mapenzi yake kwa Yanga.. Wanalipa mishahara mpaka milion 22 kwa mwezi kwa baadhi ya wachezaji.... Usajili wao mpaka bilion 1...so usishangae jengo la federation yao...
duh Tz bado kumbe
 
Back
Top Bottom