Recent content by sterter

  1. sterter

    JamiiForums Tanzania Mwenye noti ya Mia Tano jamani nanunua kwa laki moja

  2. sterter

    JamiiForums Tanzania Kwa hili bora waniue tu. Sio Makamba wala Rais nina imani nao kuhusu mradi wa Rufiji. Tumepigwa

    Kiongozi kigonga itakuwa noma sana atoke nyantira,nyansicha,Nyamwaga au kobori
  3. sterter

    JamiiForums Tanzania Kwa hili bora waniue tu. Sio Makamba wala Rais nina imani nao kuhusu mradi wa Rufiji. Tumepigwa

    Na mzuri zaidi atatoka itiriyo,masanga,kemendi etc
  4. sterter

    JamiiForums Tanzania Nauza king'amuzi cha Azam cha antenna kwa 70,000/=

    Receiver ya azam
  5. sterter

    JamiiForums Tanzania RC Dar es salaam, NEMC na Ofisi ya Makamu wa Rais tusaidie hili la Bar zilizo karibu na makazi kupiga muziki kwa sauti ya juu

    Kwa kweli hii imekuwa ni kero kubwa sana, kwa mfano mi sehemu nayoishi kuna bar inapiga makelele ya muzik mpaka saa sita usiku wakati mwingine mpaka saa saba ila tukipiga simu polis wakija siku hiyo muziki unapunguzwa kesho yake hali inaludi luea ileile. Kwa anayefahamu wapi tunaweza pata msaada...
  6. sterter

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 edge inauzwa

    Toa number yako simu, tufanye biashara
  7. sterter

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 edge inauzwa

  8. sterter

    JamiiForums Tanzania Je, Gari yako imepata ajali, imepoteza muonekano? Njoo Ommy Guy Autoworks tulihudumie lipendeze!

    Mnajitahidi ila ili muwashawishi wateja kuja kwenu usalama wenu pia ni muhimu. (PPE) Personal Protecting Equipment au safety gears kama helmet,miwani,coverlolls,safety boots na pia hata groves. Ukichukua clips ukiwa umevaa hizo PPE ni simple kumshawishi mteja akakuletea kazi.
  9. sterter

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinanitesa, nahitaji ushauri

    Ni Dar pale posta
  10. sterter

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinanitesa, nahitaji ushauri

    mimi mtakatifu, Nenda British watakusaidia.
  11. sterter

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza body za magari

    Vizuri sana ila sio mbaya ukapiga picha ya finishing
  12. sterter

    JamiiForums Tanzania Clearing and Forwarding service

    Land rover defender,mnaitoa kwa kiasi gani
  13. sterter

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kikitokea hapa nchini utafurahi na kurukaruka kama zuzu

    Siku Tanzania itakapofuta lugha ya kiswahili kufundishia shule za msingi,ifundishe kwa English na France
  14. sterter

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurenew leseni mtandaoni

    Si ungewauliza haohao waliokuambia uingie mtandanoni.
  15. sterter

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kupata hati ya kiwanja

    Waziri wa ardhi Mr Lukuvi alishatoa maelekezo,kama unaweza ingia youtube utamuona waziri mwenye dhamana akiliongelea hili la hati
Back
Top Bottom