Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,236
- 4,035
Hata TTCL na ATCL zilitoa faida na gawio enzi za Jiwe. Upuuzi mtupu wa propaganda na kujilisha upepo wakati kiuhalisia tulikuwa hoi
Mm naona we ndio deceiver . Tueleze JPM alifanikiwa wapi hadi hatukuwa na mgao kama huu : na nyie Kenge mmefeli wapi kutupeleka Kwenye mgao few months baada ya kupora nchi ?
Unapojaribu kuua legacy ya JPM tafakari katika hayo hapo juu