Hakuna kama halotel na haitakuja kutokea,mimi niko kijijini wiki sasa kilometer 66 toka town kwenye hiyo 4G, halotel haijawahi kusoma 3G wala ni mwendo wa H+
Inaogopesha kuona hadi hii leo pamoja na utumbuaji uliopo bado kuna watumishi ambao hawawajli wateja/wananchi/raia kabisa, watu wanachati Facebook hawamtazami mtu aliye dirishani akisubiri huduma! this is unfair! Nakwazika sana binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.