Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,644
Habari zenu ndugu zangu,kwa muda mrefu nimekuwa nafikiria kutafuta aina ya gari (bei ndogo) lakini itakayohimili barabara za vijijini maana napenda sana kutembelea vijijini na muda mwingi wa mizunguko yangu ni vijijini (kwa ajili ya familia yangu huko nyumbani). Sasa nimeangalia kati ya hizi gari Toyota Harrier na Carina ipi inafaa.
NB: sina uzoefu na magari hata kidogo.
Nataka gari: ambayo spea zitapatikana kwa urahisi,matumizi ya mafuta kidogo na uimara wa gari lenyewe.
NB: sina uzoefu na magari hata kidogo.
Nataka gari: ambayo spea zitapatikana kwa urahisi,matumizi ya mafuta kidogo na uimara wa gari lenyewe.