Recent content by STEPHEN MLIGO

  1. S

    Matumizi ya emoj inayoashiria upendo inavyowadanganya watu kwenye mahusiano ya mapenzi.

    Mambo ya Emoji Hayo Of coz kuna Uhalisia Katika Andiko lako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Kanisa Katoliki Congo kusema linamfahamu mshindi wa Uchaguzi Mkuu, limepata wapi nguvu hii?

    Kanisa Katoliki Linasimamia Haki Na Kutaka Utawala Bora wenye kuwajali wananchi ,# Sidhani kama Kanisa Lina Mlengo wa Kunufaika Ikiwa Mgombea Atapatikana Bali kiongozi wa wananchi Mwenye kuisogeza Mbele DRC Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Thanks For sharing skills and Knowledge Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Ahsante sana Mseza MKULU Keep On Your the Best Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ahsante kwa Ujumbe na Elimu Elekezi
  6. S

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Ni kweli Kaka Ahsante kwa Muda wako Kauli Nzuri zenye kushadidiana na Jamii Daima huwaunganisha wananchi Sometime it maybe someone weakness but ikitokea ukatambua kwamba ndio Udhaifu wako Naona ufanisi mkubwa Mbeleni Any way
  7. S

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Nimekuelewa vyema But imagine Kwamba mwenzio kapatwa na maafa makubwa kwa Amri aidha ya serikali au mahakama Kufanyiwa tendo Fulani na maeneo Hayohayo ila Mazingira Fulani Unawakingia Kifua changamoto Je Ikitokea Tanroad au mradi ukahitaji kupitishwa Waendesha implementation wajiandae kupata...
  8. S

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Jamani kweli Uongozi sometimes bila Kuwa na Nguvu ya Mungu huenda ukaongea kitu ambacho ata impact yake hukijui kweli Uongozi nao Ni wito na ni karama pia
  9. S

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Hii Kauli Si Nzuri kwa kiongozi mkubwa kutoa Maneno kama haya kwa Halaiki Binafsi sijapendezwa Licha ya Jitihada kadhaa anazozifanya Na kunishawishi kuunga Mkono Nadhani Ni kutokuujua nini nikaongea katika ziara yangu na Jamii ya watu wa mwanza Suala kama hili la kubomolewa Nyumba Natafsiri kama...
  10. S

    Ukubwa wa maumbile ya sehem za siri

    Ni swali Shekhe Albakiri But sina Imani I hali ulidhamiria kupata majibu sahihi Ya kukuridhisha Ni vyema Ukarejea Darasa la Wakubwa Bila shaka watafunguka Tofauti na MTU kama Mimi kutoa maoni I hali Au huenda bado Nikawa sexually immature Ahsante
  11. S

    Mange amshambulia Lulu

    But Actually Mange Kaeleza Facts katika hali ya Kijamii Lulu was required to share The sympathy Na mama Kanumba Madam Mange Ni maoni Yako Mazuri Kama.kupata nadhani ameyapata
Back
Top Bottom