Recent content by stephanohonyo

  1. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

    Vzuri
  2. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

    Naona mkuu umeandika vizuri lakin umefikiria uliposimama
  3. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

    We mungu hayuko TAG tu mkuu tafakar
  4. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hatareeeeeeeee san mkuu
  5. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Afu mara dawa kama oxytocin na dinoprostone hupatikana hospital sana kwa sababu ndipo wagonjwa (mama wajawazito) hupatikan hivyo kusababisha ziwe adimu mtaan hivyo wawez mwambia huyo daktar akwandikie prescription uende hospital utaipata
  6. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Pole sana mkuu afu inaitwa dinoprostone it's vaginal tablet used to induce labour
  7. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Mkuu nenda agakhan hospital dar es salaam
  8. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Mkuu nenda agakhan dar es salaam utaipata
  9. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Mambo bado mazito majadiliano ya makinikia,Barrick yaongeza wajumbe kukabiliana na hoja za upande wa Tanzania

    Asante kwa taarifa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mkuu kweli unatumia utashi wako kuandika maneno hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Je? kuna madhara gani endapo nitafumua vidonge na kuvitumia bila zile plastic au nta zake?

    Lakini pia hata kama kuna madhara ni % ndogo sana ukilinganisha na faida ya dawa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Je? kuna madhara gani endapo nitafumua vidonge na kuvitumia bila zile plastic au nta zake?

    Hakuna madhara maan ili dawa itengenezwe inahitaji zitu vinavyoitwa kitaalamu pharmaceutical expient ambazo hizo plastic unazosema ni mojawapo ambazo kitaalamu sio plastic ila ni gel like material ambazo zikifika tumboni huyeyuka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Je? kuna madhara gani endapo nitafumua vidonge na kuvitumia bila zile plastic au nta zake?

    C kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  14. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania Je? kuna madhara gani endapo nitafumua vidonge na kuvitumia bila zile plastic au nta zake?

    Kuna sababu nyingi ambazo husababishwa vidonge kutengenezwa vikiwa vmefunikwa na baadhi yake ni 1. Uchungu wa dawa, hii huwa tatizo kwa mtumiaj 2.kuongeza uwezo wa dawa kufika pahala husika (target area) kuna baadhi ya dawa ambazo humeng'enywa zikiwa tumbon (acidic unstable tablet) hivyo...
  15. stephanohonyo

    JamiiForums Tanzania WANA JF MSAADA VIFAA USED VYA GYM

    Asante mkuu
Back
Top Bottom