Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,131
- 33,449
Wakuu habari za majukumu. Binafsi ninapo meza vidonge vyenye nta huwa nahisi tumbo kuvurugika au kuuma sana na huwa napendelea kuvifungua na kumeza ule unga wake tu Sasa naomba mnifahamishe endapo kuna athari zozote ninazo weza kuzipata nikiendelea na utaratibu huo.
N:B Nimekosa kiswahili sahihi na nimeshindwa kuviita vidonge ambavyo mifuniko, mfano ni kama vile vidonge almaarufu kama rangi mbili.
N:B Nimekosa kiswahili sahihi na nimeshindwa kuviita vidonge ambavyo mifuniko, mfano ni kama vile vidonge almaarufu kama rangi mbili.