Wadau habarini,
Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua...
Mke wangu alipata ujauzito na akajifungua mtoto wa pili akasema nisimwite jina la mama yake kwani mama yake ni mshika madawa Sana. Nilimwita jina lingine mama mkwe akamwambia aje amzalie mtoto wa kike amwite jina la mama mkwe jina kama lilivyo.
Alipata mimba ya tatu mimba hiyo kila nikitaka...
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
Tatizo la watanzania kwa asilimia kubwa wanapenda starehe za vyakula, vinywaji na wanawake hawathamini kazi. Wachezaji wetu hawathamini kazi zao kwa asilimia zote ndiyo maana wakifungwa sawa wakifunga sawa.
Wadau habarini,
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari...
Kaza moyo Sana utazoea baadae mm nilikuwa na mke nimeoa aliniachia watoto wawili bado wadogo akaenda kupanga na kudanga Sasa ninamiez Tisa sinae huko aliko alikuwa na ujauzito amejifu gua mwenyewe kwa gharama zake na ananiambia yule mtoto wa tatu siyo wangu kumbuka mtoto wangu wa pil aliienda...
Waambie haswa wanawake wa kimjini wanapoga mipafyumu yenye harufu Kali kule kati mwishowe unagonga mashine ilimradi tu tena ulitaka kumpitisha ulimi ndo shida Mana kale kaharufu bomba Sana kitu kusisimka na kujisikia raha na kuvutia, mfano ukisogeleana au ukipishana na mwanamke mwenye kaharuf...
Unavyosema ni sahihi, tatizo utaomba kazi Sana watu wanajuana ile mbaya haswa kwenye nafasi chache Sana mfano nafasi 1 hadi 10 bora nafasi za vijijini Kama za Sensa hapo afadhali.
Mm nikupe wazo kawaambie waajiri kuanzia waliomaliza chuo zamani kuja wa Sasa.
Wasichanganye wa Sasa na wa zamani, kwenye mtihani ni wazi kabisa mtu alietoka chuo hivi karibuni ni rahisi kukumbuka na kushinda mtihani wa usaili kuliko mtu wa zamani.
Najiuliza hivi kitengo Cha PSRS hakina watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.