Recent content by Stephano Mwandiga

  1. S

    Habari za uchaguzi mdogo kata ya santilya

    Mods naomba musiweke mbali uzi huu Leo CHADEMA ndio wamefunga kampeni zao ambazo ziliongozwa na viongozi wa kanda na kimsingi chadema wanashinda kata hii hivi ninavyo zungumza makamanda wameenda kufanya dolia kwani ccm wameanza kugawa rushwa bt hali ya kuwadhibiti iko vizuri na tunaamini...
  2. S

    Uzinduzi wa kampeni kata ya santilya

    Jana chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kilifanya uzinduzi wake wa kampeni za udiwani katika kata hiyo iliyopi mbeya vijijini Katika uzinduzi huo ulioongozwa na mratibu kanda ya nyanda za juu kusini baada ya mh Mbowe kuto fika kutokana na sababu zisizo zuilika Taarifa zinadai kuwa...
  3. S

    CHADEMA kuzindua kampeni kesho kata ya Santilya Mbeya Vijijini

    Kesho tarehe 19/01/2014 Chama cha Demokrasia na maendeleo kitazindua kampeni zake katika kata ya Santilya ambayo ipo katika jimbo la mbeya vijijini kwa ajiri ya kuanza harakati za kuwania udiwani ktk uchaguzi huo mdogo. CHADEMA katika uzinduzi huo itaambatana na viongozi waandamizi wa Kanda ya...
  4. S

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Katika mambo ninayo yaunga mkono asilimia 100 ni pamoja na hili uchaguzi wa chama taifa ukifanyika na ukaacha makundi inaweza ikawa tabu sana kuingia ikulu mana kuna wanasiasa hawawazi mbali wanawaza vyeo vya kichama badala ya kuwaza chadema ishike nchi Napenda kusema kuwa kama maneno ya...
  5. S

    Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

    Itakuwa anaisema CCM
  6. S

    Chadema yatisha kata ya uchaguzi mdogo santilya jimbo la mbeya vijijini

    picha ndo hizo mkuu ila tar 15/01/2014 tunaenda kuludisha fomu ya serikali ko nita wajuza
  7. S

    Chadema yatisha kata ya uchaguzi mdogo santilya jimbo la mbeya vijijini

    Ilikuwa ni siku ya jana TAR 09/01/2014 ambapo mteuliwa wa ugombea udiwani kata ya Santilya ndugu Elisha Mwandele kupitia CHADEMA Alipokuwa akichukuwa fomu ya serikali ya kugombea udiwani katika kata hiyo iliyo wazi kutokana na kifo cha diwani wa kata hiyo kupitia CCM. Mgombea huyo...
  8. S

    Katibu wa CCM Kyerwa afungwa kwa wizi....

    kweli kabisaaaaaaaa baba mwizi mama mwizi watoto wezi mashangazi, wajomba wote wezi
  9. S

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Chama hakiwezi kuenda hivo kama unavyopendekeza wewe itakuwa haina tofauti na kilabu cha pombe kwamba mtu akikumwagia pombe leo kesho munakuwa mumesameheana na urafiki unaendelea zzk angeweza na anaweza kusamehewa rakini tatizo ameenda kinyume na utaratibu wa chama hatuwezi kuendesha taasisi...
  10. S

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    waite kaka zako akina nape na nchemba
  11. S

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Mbona mi naona ni kama anajitetea vile, Tuko upande wa taasisi na sio mtu mmoja tuna heshimu maamuzi ya kamati kuu mpaka maamuzi mengine yatakapo tolewa na kamati kuu au chombo kingine cha maamuzi ndani ya chama na si vinginevyo MTEJA WAKO ZZK NI MUHAINI, MSALATI WA CHAMA MIMI NAPENDA...
  12. S

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Mi nadhani mambo hayo yote zzk aliyasahau, na mimi ninavyo dhani ikitokea ishu ikasahaulika kama zingine heshima yake itashuka mala dufu na ni bora angekubali maamuzi ya kamati kuu kuliko anavyo jinyonga nyonga kutaka kujinasua mana hata kile kidogo alicho nacho anazidi kukipoteza NASHAURI...
Back
Top Bottom