Stephano Mwandiga
Member
- Dec 14, 2013
- 78
- 24
Kesho tarehe 19/01/2014 Chama cha Demokrasia na maendeleo kitazindua kampeni zake katika kata ya Santilya ambayo ipo katika jimbo la mbeya vijijini kwa ajiri ya kuanza harakati za kuwania udiwani ktk uchaguzi huo mdogo.
CHADEMA katika uzinduzi huo itaambatana na viongozi waandamizi wa Kanda ya Nyanda za juu kuzini, Wenyeviti wa wilaya wa majimbo mbalimbi yaliyopo karibu na mbeya Vijijini.
Uzinduzi huo uta ongozwa na Mch Peter Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini.
Pia Kamanda wa anga anatarajiwa kutuwa na Chopa katika kata hiyo ili kutia hamasa ktk uchaguzi huo mdogo.
HABARI KAMILI NTAWAJUZA KESHO