Nina bati 22 za Alaf. Zimebaki baada ya fundi kunikadiria makadirio yasiyo na tija njoo pm tuyajenge.
Nilinunua kwa 610000 kwa bando mwezi wa nne mwaka huu
Tatizo lako lilianzia pale ulipowatangazia hata wale uliowaaminisha kuwa utawaoa na haikuwa hivyo.
Kwa nini mnatangaza sana uchumba kuliko ndoa?
Kikulacho kinguoni mwako.
Ktk vitu ambavyo havishauriwi kuvichelewesha ni vitatu
1. Ndoa
2. Kuzika
3. Kusilimu
Hivi vitu huwa vina fitna nyingi...
Habari zenu wandugu.
Baada ya kupata vijana wa nne ktk tangazo langu la kwanza wale wa kuchoma ashua sasa nimekuja na hili lengo likiwa ni kuinuana na kusaidiana. Kuna laki tatu hapa mfuko wa shati ambazo si nyingi kwa mwenye nazo na pia si ndogo kwa mtafutaji.
Nahitaji kijana/vijana ambaye...
Habari zenu wandugu.
Baada ya kupata vijana wa nne ktk tangazo langu la kwanza wale wa kuchoma ashua sasa nimekuja na hili lengo likiwa ni kuinuana na kusaidiana. Kuna laki tatu hapa mfuko wa shati ambazo si nyingi kwa mwenye nazo na pia si ndogo kwa mtafutaji.
Nahitaji kijana/vijana ambaye...
Hizi tetesi mnazozitangaza sana sana kama zina Ukweli zinaweza mkosesha ndugu Antipasi ulaji kwa kusema sema kwenu huko.
Si mnajua mama nae anapitia pitia humu.
Umeongea kwa hasira sana mpaka umenitisha.
Mimi sitangazi biashara mkuu mimi nahitaji mtu wa kufanya hiyo kazi tu.
Kuhusu sehemu halisi ya kazi siwezi kukutajia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Kazi yenyewe ndio hiyo tayari nimeibainisha hizo kazi nyingine mnazowapa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.