Recent content by stella D Kanuti

  1. stella D Kanuti

    Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    Slaa ana mapepo saba, aliyapata baada ya kuuasi upadre...hawezi kuongoza nchi kama hana mawasiliano mazuri na mungu wake...simuhukumu ila aendelee tu na biashara zake na hisa alizowekeza chagadema...lakini naamini pamoja na dr slaa kumuasi mungu bado anaweza kumshauri mwekezaji mkuu ndani ya...
  2. stella D Kanuti

    Rais ajaye atenganishe Elimu na Siasa

    Sijui nini kinaendelea katika mfumo wa elimu yetu isipokua ninachokiona ni kuwa, Tunahitaji kiongozi ambaye hatatumia sekta ya elimu kama mtaji wake kisiasa, Aheshimu na kuwatumia wataalam na wadau wa elimu kabla na baada ya kufanya maboresho yoyote katika mfumo wa elimu. Asiyumbishwe na...
  3. stella D Kanuti

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Imekua ni kama desturi kumzushia mh ENL mara anaumwa hiki mara anaumwa kile,mwisho wa siku tunamwona akiendelea kuwatumikia wapiga kura wake jimboni na bungeni,na pia kwenye shughuli za kijamii akitembea mwenyewe na akiwa mzima wa afya. Labda sasa ijulikane wazi kuwa huyu mtanzania mwenzetu...
  4. stella D Kanuti

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Huo ni unywanywa tu....na mtahangaika sana kumuombea ugonjwa
  5. stella D Kanuti

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Asante Mungu nimegundua kitu kumbe mmasai hakutendewa haki (natural justice) mbona mtoto wa mkulima anapiganiwa kufa na kupona asijiuzulu
  6. stella D Kanuti

    Hivi kweli vijana wa CHADEMA hamyaoni haya?

    Nashindwa kuwaelewa vijana wa cdm kwa kuendelea kuwakumbatia viongozi wanaoiua cdm,ni wazi chama kilichowahi kuwa na ushawishi mkubwa kwa vipindi viwili mfululizo ni CHADEMA Chama kilipo sasa kinahitaji refotmation ya uongozi wa juu huku chini mnajua fika hakuna tatizo,kwan nini kinawapa...
  7. stella D Kanuti

    Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

    Mnh sasa km walimfukuza Zzk aliyekua anahoji usalama wa pesa za wavuja jasho me sichangii hata cent maana watakula tu hizo pesa
  8. stella D Kanuti

    Kura ya maoni March 30 2015, Daftari kuboreshwa kwanza

    Kaka Nape anawamalizia waandamanaji teh teh viroba vimeshindwa...sisi tunauza sera nyie mnauza viroba
  9. stella D Kanuti

    Kura ya maoni March 30 2015, Daftari kuboreshwa kwanza

    Tar 39 March?aisee kweli mwakan ni mwaka wa kihistoria ...?
  10. stella D Kanuti

    Kambi ya Sitta yapoteza matumaini kabisa Urais 2015

    Una uti.n.dI.o wa ubongo kijana na uwahi mirembe mapema maana kati ya watakaowajibishwa 2015 ni pamoja na wenye matatizo kama yako
  11. stella D Kanuti

    Kambi ya Sitta yapoteza matumaini kabisa Urais 2015

    Sitta kwisha habari yake,amekwisha kwa speed na standard ya ajabu
  12. stella D Kanuti

    Kuota Ndoto Upo Na Watu Waliokwisha Fariki

    Wapi wewe acha uzushi wako ina maana ukiota unabadilishana mawazo na Obama ndio uko karibu kumfuata white house?
  13. stella D Kanuti

    Wanaccm wakanusha uzushi unaonezwa na wasio na nia njema nn chama chao dhidi ya yaliyojiri kwenye

    kila kitu hakiwezi kuwa vile unavyotaka iwe,walijua haya mtayaleta tena safari hii ila haina madhara, wapike nyingine
  14. stella D Kanuti

    Wanaccm wakanusha uzushi unaonezwa na wasio na nia njema nn chama chao dhidi ya yaliyojiri kwenye

    Katika hali ya mshangao wanachama wa ccm wameshangazwa na propaganda zinazoenezwa ili kuwachafua wanaodhaniwa kuweza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Kwanza wakana kuwepo kwa aina yoyote ya mazingira ya utoaji rushwa na wengine wakathubutu kusema",isipokua kinachoonekana sasa kwenye...
Back
Top Bottom