Recent content by Stayfar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wewe na mleta post,wote ni wapumbavu.Unamkataje dereva point kwa ubovu wa gari la tajiri,unamkataje point dereva kwa mibarabara mibovu,.Ujinga Ujinga kama hao wajinga wenzenu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Charles Shauri,wewe ni rollmodel wangu,ni mtu niliyekujua kwamba huwa hukati tamaa na kitu.Kwenye hili la kufuga senene,nasubiri kauli yako ya dhati.Kwamba linawezekana.Kama ni kweli nianze kulifanyia utafiti na ikiwezekana nilifanye.Toa kauli mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Usitupangie na wala hutubadilishi chochote,kila mtu anaishi maisha yake anayoona yanafaa kuishi.Hizo tafsiri zako za uharamu baki nazo wewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Kwani mtoto haramu utamjuaje akishakua?.Tupe madhara ambayo umekutana nayo ya mtu mzima ambaye wewe unaita alizaliwa kiharamu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Usidate na mke wala mume wa mtu hiyo dhambi haitokuacha fuatilia wanaoteseka Leo hii wazazi wao

    Mimi ni mme wa mtu.Ila kuna mwanamke mwingine nimempenda na simwachi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba na Yanga hawatakiwi kwenda Bar mwezi mtukufu?

    Wamejipendekeza hizo club ni za waisilamu wa kariakoo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Huyu ndiye Waziri mbovu kuliko wote.Kazi yake kucheza na media
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa Rais wa Congo ungefanya nini kumaliza migogoro ya kivita?

    Huyo jamaa ni M Ventwaa
  9. S

    JamiiForums Rwanda, JamiiForums Tanzania NIPENI ABCD ZA RWANDA NATAKA NIKATAFUTE MAISHA

    Kuliko kwenda Rwanda. bora uende Geita
  10. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa Afya Dodoma pitieni Soko la Sabasaba msimu huu wa mvua, vyakula vinapangwa chini kukiwa na matope

    Ki ukweli ni aibu.Dar kuna soko la ndizi mabibo huwa ni chafu lakini hili soko la Sabasaba ni zaidi ya choo.Mvua ikinyesha wenye vyoo vya kulipia na nyumba za jirani wanatapisha vyoo.Kinyesi kinapita katikati ya wachuuzi,hasa wakina Mama wanaopanga bidhaa chini. Tena bila aibu,soko hili lipo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'?

    Alisikia mpuuzi mmoja.Kojoa ukalale,boya kabisa usiyejua kitu
  12. S

    JamiiForums Tanzania MC Alger anafungwa atake asitake. Yanga isiposhinda nipigwe ban ya wiki

    Moderator njoo ule kichwa
Back
Top Bottom