Mkuu labda nikuulize je unaweza kutumia ujuzi wako kufanya kazi kama freelancer?
Kama ndivyo basi unaweza kuuza au kununua huduma katika jukwaa dogo la freelancing la Kiswahili.
Andaa ujuzi unaotaka kuuza. Ili kuelewa vizuri angalia watu wengine walivyoandaa project zao wanaozouza.
Mkuu hii...
Mkuu mimi sipo Iringa ila niseme tu kama mazingira uliyopo kuna uhitaji basi utagipa hela nzuri tu Iwapo utakuwa unaendesha mwenyewe.
Kuhusu changamoto. Ongea na waendesha Bajaj hapo mtaani kwako mkuu.... Itakuwa rahisi kuelewa zaidi changamoto katika eneo lako.
Ila kifupi Bajaj ni biashara...
Mkuu ili upate nafasi ya watu kununua huduma yako I strongly advice ujaribu hii freelancing platform ya Kiswahili
Projects | KaziYako Tanzania
Kwenye hiyo platform unaweza kuuza ujuzi wako wowote ule na soon buyers watakutafuta.
Kumbuka kuandika huduma unazotoa vizuri.
Kama unapata tabu...
Mkuu jaribu kuangalia kwenye jukwaa hili la freelance la Kitanzania.
https://kaziyakotz.com/projects/
Nimeona wapo professional content writers watakaoweza kukufanyia kazi yako.
Angalia profile zao then ukiona anekufaa send them direct message au comment kwenye profile uweze kuwasiliana nao...
Ok boss.
Pia unaweza angalia hii freelancing site ya Kitanzania ambapo anaweza kuuza ujuzi wako and make some $$$
https://kaziyakotz.com/projects/
Kujisajili ni rahisi. It takes two minutes
Mkuu acha uvivu.
No one will teach you "life hacks" for free.
Kumbuka watu wamewekeza muda kujifunza kwahiyo hayo maelezo yaliyotolewa yanatosha kabisa. Iwapo unataka kujifunza zaidi I advice ujifunze chini ya mentorship au ujifunze mwenyewe
Being entrepreneur sucks.
Don't listen the hype of the media.
I'm online business owner and I work 90 hours a week.
When you are business owner it means you have invested years + money.
And you know what?
There is no guarantee.
You may fail miserably.
Kwahiyo hapo unatakiwa kujifunza if...
Kabisa. Changamoto ninayoiona kwenye kujifunza skill mpya wengi hatuwi focused hadi mwisho. Unakuta mtu anakomaa wiki ya kwanza lakini baada ya hapo hakuna linaloendelea. Focus + discipline muhimu sana.
You need to hustle to make $$$
Jitahidi uwe na vyanzo vingi vya income kadiri iwezekanavyo.
Acha kabisa pesa tamu bana. When you have money it means you can have more choices in life. Rich people don't worry about money when they in vacation. They eat what they want, fly business class, they...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.