Content Writer anahitajika

Content Writer anahitajika

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Habari,

Tunahitaji mtu anayeweza kufanya kazi ya kuandaa content kwa lugha ya kiswahili na kiingereza fasaha. Awe ni "Freelancer" ambaye anaweza kufanyia kazi ofisini kwetu au popote alipo.

Utapewa "overview" ya unachotakiwa kuandikia kisha baada ya hapo utaandika andiko hilo kwa kiswahili na kiingereza. Anahitajika kwa haraka ndani ya siku chache kazi iwe imekamilika.

Kama unaona uwezo wa kuifanya kazi hii unao, tutumie nakala za andiko ambazo umewahi kuandika kupitia kwenye email yetu ya info@p2p.co.tz ukiambatanisha na wasifu wako kwa ufupi pamoja na makadirio ya gharama zako.

NB: Kazi hii ni ya muda mfupi, tutaelewana kulingana na andiko husika hivyo ndiyo maana tunataka mtu ambaye ni "freelancer".

Kwa maswali zaidi tuma email kwenda info@p2p.co.tz utapewa maelezo zaidi.

Asanteni.
 
Mkuu jaribu kuangalia kwenye jukwaa hili la freelance la Kitanzania.

https://kaziyakotz.com/projects/

Nimeona wapo professional content writers watakaoweza kukufanyia kazi yako.

Angalia profile zao then ukiona anekufaa send them direct message au comment kwenye profile uweze kuwasiliana nao.

I hope this help.
 
Back
Top Bottom