Yule bwana hawezi kuishi kule, kule ni kwa kupumzika, kwanza ofisi ya Rais mstaafu aliyopewa na serikali ipo Dar unataka aendelee kuchoma mafuta kila siku kwenda dar toka Chalinze kwa kodi zetu? Licha ya hivyo unataka kutuaminisha kuwa hana nyumba nyingine dar kabla ya kuwa Rais alikuwa anakaa...
Kumlinganisha katibu mkuu kiongozi na Waziri mkuu, nao ni ulofa. Viongozi wakuu was serikali ni Rais, makamu wa rais na Waziri mkuu kama hivi ndivyo katibu mkuu kiongozi anakuwaje na madaraka makubwa. iweje mtu aliyeidhinishwa na bunge kwa niaba ya wananchi awe sawa au azidiwe kimaradaka na yule...
Wandishi wengi ni shida TZ. Unapomuliza ametumia vigezo gani pengine ni pale unapokuwa umeona mapungufu ya msingi kwa wateuliwa lkn unaweza kukuta mwandishi hakujiridhisha kama ndio hi yo akambilia kuuliza swali. Wandishi wengi wanapenda kuliza maswali ya kuvizia/provocating ili waonekane turn...
Hizo ni mbinu za kumfanya Rais ashindwe kutekeleza kauli mbiu yake ya hapa kazi tu.atawajibishaje wazembe akiwa mbali na ofisi za serikali na hata kubali. Ikulu kusafishwa ni kawaida na mara nyingi Waziri mkuu huapishwa Dodoma!
Mleta mada amepatwa na kiwewe yaani ambayo yanapaswa kufanywa na serikali ye kwake anaona ni hisani. Mzee funguka kwenye nchi nyingine hayo mambo ya kawaida sana na ingekuwa nchi nyingine kutofanyika kwake kungesababisha serikali kuondolewa madarakani. Yaelekea huelewi hata dhana ya uchaguzi.
Mkuu hawamsifii yeye wanamini fedha zao za walipa kodi wao wanamini zitafanya kazi iliyokusudiwa kwenye miradi ya maendeleo. Hata ungekuwa wewe inauma nchi yako inatoa fedha halafu wanaopewa wanazitumia kwenye safari ambazo hazina tija kwa main yao. Nafikiri ktk nchi yetu usimamizi ulikuwa...
Wakuu tuwe wakweli hulka ya Ndugai no MTU mwenye jazba mno na si mvumilivu pengine ndio tofauti kubwa aliyonayo ukimlinganisha na wagombea engine lkn kama lengo ni kulinda maslahi ya chama chetu bungeni huyu jamaa anafaa sana ni mtetezi halisi wa chama, kwa upande wa pili vyama vya upinzani...
Mleta mada ulitaka afanyeje sasa wakati sheria hazirusu mgombea binafsi ni lazima apitie chama cha siasa na kwa vyovyote vile unajua angechagua chama tawala ili aendelee kulinda ajira yake kama ataukosa uspika. yeye binafsi anajiona anauwezo wa kuwa Spika asizuizwe kutimiza ndoto yake tunajua...
Hivi jamani kutaka mtu awe mbunge muda mrefu, Hii nchi tumelogwa hakuna watu wengine. Tanzania pengine in nchi pekee ambayo MTU anaingia bungeni akiwa kawaida kabisa lkn kutokana na kurudishwa bungeni kila uchaguzi ambako hatutokani na utendaji wake anabadilika na Kuwa tajiri wa kutupwa na hivyo...
Mtakemsitake inaonekana Sitta atarudi tena,Zungu hawezi Kuwa Spika kwa kuwa ni mtu ambaye hana misimamo mikali kama akina Ndugai ni kama yupo neutral kidogo kwa sababu hiyo anaweza akaungwa mkono pia na wapinzani, kwa chama changu ninavyokifahamu huyu mtu hatapitishwa kwa hofu ya kuhatarisha...
Mleta Mada acha kumtisha mhe. Rais. Rais ana nguvu ya kikatiba na ameapa kuilinda katiba. Ni watu wachache tu wenye mawazo kama wewe ndio wanaokwamisha maendeleo ya Tanzania. Kwani hao uliowataja ndio wamemchagua Rais pekee?. Kwa bahati nzuri rais amesisitiza wafanyabiashara wakubwa ndio walipe...
Nilidhani ili hoja yenu iwe na nguvu mngeonesha hata kwa mifano kuwa jamaa amefanya mambo gani, bahati mbaya sana wote mmeishia kubwabwaja, mtendaji mzuri hasifiwi kazi zake ndio zinamtangaza ukiona watu wanatumia nguvu sana ujue kuna tatizo mahala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.