Magufuli asifiwa na umoja wa ulaya(EU)

Magufuli asifiwa na umoja wa ulaya(EU)

Hii mizungu haiaminiki, inatafuta njia ya kumteka akili sasa, ukitaka
kumfaidi mpumbavu wewe msifie tu, ndio wanataka kutumia akili hizo
Please Mh Magufuli achana na hizo sifa zao wanatafuta njia ya kukuweka kwenye himaya zao, maana kwa style yako wameshaona nchi zao hazitapata mirija ya kunyonya,
Ngastuka
 
Mkuu chakaza hawa watu huwa hawajui ni nini jema au baya.Mzee wa msoga wakati tunasema kasafiri kuliko jua walisema cc waongo!Leo pombe kuzuia wazururaji ana wana msifu nashindwa kuwaelewa
Sifa kuu ya watanzania ni unafiki na ukigeugeu sio ccm wala wapinzani wote sawa tu!
 
Wanataka kumuingia tu wamuonge waanze kutunyonya, sasa msukuma yule haongeki safari hakuna kuchekacheka yeye kazi tu kwaajili ya taifa lake.
 
Binafsi nadhani tumpe muda Mh. JPM. Tulishapigwa changa la macho sana huko nyuma. Hata JK alisifiwa sana enzi za kiti chake. Hivyo, sioni jipya hapo.

Nitamuona watofauti pale ambapo maisha yetu sote yataboreka. Foleni kwny majiji kumalizika, afya kuboreka, elimu kuboreka, kilimo chenye tija, umeme wa uhakika, kuifanya bahari yetu kuchangia kwenye pato la taifa, umoja wetu kuwa bora zaidi, nk. Nadhani binafsi ndivyo vigezo nitakavyotumia kumsifia Mhe. JPM.
 
Hawa wazungu wanafiki mwanzo walisema uchaguzi wa Tanzania "not credible "Ghafla wanaanza kumsifu mh raisi .usiwachekee kuna kitu wanataka kutoka kwetu
 
Hizo nguvu mnazotumia kusifia kwenye mitandao ya kijamii.....inatia shaka ......
 
Kasome vizuri historia yake kabla huja comment. Kwa kukusaidia mwl honorary degree ya kwanza aliipata chuo kikuu alichosoma cha Scotland Edinburgh, pia usa vyuo vitatu canada kimoja hata cuba india na sehemu nyingi Africa kuna watu wanamwita Dr Nyerere kama ulikua hujui

Unajua kwa kuwa Ml. Nyerere alikuwaanaact low profile watu hata hawajui jinsi nje walivyokuwa wanamkubali.Watuhawafahamu tuzo ngapi alipewa huyu Mzee. Nilibahatika kufika Butiama kwenyemakumbusho nilisoma tuzo alizopata na kusoma maneno ya tuzo hizo nililiakufahamu ukweli huo wakati mwenyewe amakwishafariki! Asante kwa kutujuza hayona wengi wataelewa. Kizuri Chajiuza kibaya chajitembeza!
 
kama ni sifa Kikwete alisifiwa sana,lakini ukiona mtu anasifiwa na wazungu ujue wanataka kumtumia kwa faida yao
Yes hata Nyerere aliwahi kusema ukiona kiongozi Wa Africa anasifiwa na wazungu,ujue huyo hafai wazungu humsifia mtu ambaye wana faida naye tu
 
Vatican lazima wamfagilie kijana wao ... Dr Hussein alikuwa na kosa gani? ... Tatizo wakatoliki mnajiona ndo wenye haki ya kutawala Dunia hii ...
Leo mabalozi wa umoja wa ulaya wamemsifu bwana Magufuli kwa kazi yake nzuri kuzuia wazururaji wa ulaya na kuwawajibisha watumishi wazembe nadhani ni pamoja na kumtimua mkurugenzi MOI. Waahidi kumwaga mamilioni katika budget yake.
 
Hii mizungu haiaminiki, inatafuta njia ya kumteka akili sasa, ukitaka
kumfaidi mpumbavu wewe msifie tu, ndio wanataka kutumia akili hizo
Please Mh Magufuli achana na hizo sifa zao wanatafuta njia ya kukuweka kwenye himaya zao, maana kwa style yako wameshaona nchi zao hazitapata mirija ya kunyonya,
Ngastuka

Hapana mkuu wazungu walikuwa wanashangaa watu kwenda kuomba nje wakati wahusika wako hapa hapa wa kuombwa
 
nini tena? misaada kwenye budget? nachukia kusikia hii misaada ya kwenye budget yetu.

Leo mabalozi wa umoja wa ulaya wamemsifu bwana Magufuli kwa kazi yake nzuri kuzuia wazururaji wa ulaya na kuwawajibisha watumishi wazembe nadhani ni pamoja na kumtimua mkurugenzi MOI. Waahidi kumwaga mamilioni katika budget yake.
 
Mkuu hawamsifii yeye wanamini fedha zao za walipa kodi wao wanamini zitafanya kazi iliyokusudiwa kwenye miradi ya maendeleo. Hata ungekuwa wewe inauma nchi yako inatoa fedha halafu wanaopewa wanazitumia kwenye safari ambazo hazina tija kwa main yao. Nafikiri ktk nchi yetu usimamizi ulikuwa tatizo pengine kutakuwa na mabadiliko.
 
Wazungu wanaangalia big picture. Hakuna chochote ambacho kitabadili msimamo wa JPM na atatekeleza kazi yake kwa manufaa ya Watanzania ..... stay tuned.
 
Back
Top Bottom