octaviankweka
Member
- Oct 17, 2015
- 92
- 33
Ndugai amna kitu
Ila kwa hili la kuchapa bakora namkubali sana. Tatizo langu ni uswahiba wake kwa Lowasa
Ndugu wanajukwaa tumekutana na purukushani za kisiasa huko majimbon na kitaifa. Kati ya wanasiasa makini waliopo kuna Aliyekuwa naibu spika qa bunge LA 10 Mh Ndugai Job.
Kwa marefu na mapana wengi tunamjua uwezo wake sasa tube upande wa pili. Je ni mtu ambaye anayeendana na kasi ya maendeleo na changamoto za kisiasa za ulimwengu huu?
Hana sifa za usipika kwa bunge la sasa ambalo linachangamoto sana kulingana na vijana kuwa wengi linamuita MTU makini nae si MWINGINE
Sammwel sitta,
Mtu ambaye alikuwa tayari kutetea maslah ya umma wakati qa scandal ya escrow unasema hafai. Sijui watanzania nani katuroga
Binafsi naona ukitaka mambo yasonge, ni vizuri sana kuweka Spika asiye kuwa kada wa chama chochote kile!! akubalike kwa utendaji wake wa kazi, mwenye elimu nzuri inayokubalika kitaifa na kimataifa. Tubadilishe kanuni zetu.
Changamoto za kuweka Spika kada, tumeshayapitia - kuna muda baada ya kuisimamia Serikali yeye anaitetea tena waziwazi kabisa. Kwa style hii Serikali inakuwa vigumu kuwajibika.
Ndugu wanajukwaa tumekutana na purukushani za kisiasa huko majimbon na kitaifa. Kati ya wanasiasa makini waliopo kuna Aliyekuwa naibu spika qa bunge LA 10 Mh Ndugai Job.
Kwa marefu na mapana wengi tunamjua uwezo wake sasa tube upande wa pili. Je ni mtu ambaye anayeendana na kasi ya maendeleo na changamoto za kisiasa za ulimwengu huu?
Sasa wewe ukawa unashindwa hata kuuza mtu? Hofu yako ni Ndugai, usijifanye kuchanganya dawa hapa kwa kujifanya unamsifia wakati ndiye unayemuogopa!Wakuu tuwe wakweli hulka ya Ndugai no MTU mwenye jazba mno na si mvumilivu pengine ndio tofauti kubwa aliyonayo ukimlinganisha na wagombea engine lkn kama lengo ni kulinda maslahi ya chama chetu bungeni huyu jamaa anafaa sana ni mtetezi halisi wa chama, kwa upande wa pili vyama vya upinzani vitakuwa vimepata pigo kubwa huyu bwana akipita na kwa kweli itakuwa na athari hasi kwa upande huo.