Professor Assad ni tunu ya Taifa

Professor Assad ni tunu ya Taifa

Nilidhani ili hoja yenu iwe na nguvu mngeonesha hata kwa mifano kuwa jamaa amefanya mambo gani, bahati mbaya sana wote mmeishia kubwabwaja, mtendaji mzuri hasifiwi kazi zake ndio zinamtangaza ukiona watu wanatumia nguvu sana ujue kuna tatizo mahala.
 
Wapi kitufe cha like mkuu?
 
Mtu mnafiki huonekana hapa hapa. Wewe si umeanzisha thread ya "CAG umechanganya professionalism na siasa".
Hivi nawe pia ni great thinker? Wacha double faces zako hizo!
Duh watu mnafunua. Mi nilichomaanisha ni ile kauli yake. Kama upo na makandokando hata kama uwe mzuri kiasa gani lazima tu unaweza ukafanya ukaguzi unaoegemea upande mmoja.
 
huyu jamaa alilazimisha islamic banking nbc hadi kugombana na mafuru na kufikia mafuru kusimamishwa kazi,!!!!!
 
Back
Top Bottom