Recent content by stassia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu wamefanikiwa kuiteka nchi

    Na pia sasa hivi Wimbi la wanaigeria limerudi tena wamejaa kama wote na wanapasport za kitanzania, magufuli aliwadhibit na wengine walirudishwa wasiokuwa na vibali, wanatumia passport za kitanzania kufanyia mambo Yao ya kitapeli.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu wamefanikiwa kuiteka nchi

    Malawi, warundi wamejaa tele
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hii ni sad situation kuna mmoja amefungwa hivi karibuni alikuwa akipeleka wasichana kuwafundisha kuogelea akifika kina kirefu anakulazimisha mapenzi ukikataa anakutishia atakuacha uzame so wengine ni victims inasikitisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Imefunguka! Je Saalah Na "GSM" Ndio Ufungukaji Wenyewe?

    Yani naona sasahivi kila mtu analalamika, maisha magumu mwanzo watu walikuwa wanajituma wanafanya vibiasharA mtu akijua upo vizuri kidogo anakuomba kamtaji hata cha kuuza ubuyu, mzee alijua kuamsha watu wasilale wapambane hata kuuza uji, wasikae tu vijiweni sahivi hovyo mitaani vijiwe vimerudi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Kuna maamuzi makubwa yatafanywa na viongozi na yatawashangaza, tunahitaji waombaji wa kimkakati

    Mtumishi wa kweli aliebakia anaefundisha neno la Mungu, huwa hakosei akisema
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Huyo harmonize mwenyewe alikuwa hajitegemei mwenyewe mwanume suruali kula kuvishwa ni Sarah endiwo mama yake ana m hotel na mmiliki ni Sarah mali za Sarah ndo maana mahakama imempA kila kitu chake sarah kabkia suruali tupu na bado atarudi mtwara, mkopo kwa hela gani harmonize anayo ya kumlipa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

    Hao wapinzani waangalie na wakae kwa makini hawamjui mama vizuri anawavuta kwa karibu dawa Yao ipo jikoni inachemka, adui yako mvute karibu litawakuta jambo, taratibu bila haraka bila kuacha ushahidi, huyo ni mzenji so wakae tako moja nje wasijiaminishe sana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli was one of the loved president in The world

    Nilishangaa watu wa nchi zingine wakimuongelea magufuli na kumfatilia sana huku ughaibuni, wengine nikiwa kazini walikuwa wanamuulizia kabisa wanatKa kuju a historia yake na wengine walikuwa wananiambia watatembelea Tz kwaajili yake, but mostly pia walikuwa wanasema kwa sera zake na kujali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yalamba karata ya garasa ya "winter is coming", majira ya baridi yameisha rasmi Ulaya

    Baridi haijaisha bado na gesi sio kwaajili ya baridi tu mambo ni mengi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shilingi 10,000 haitoshi kuacha nyumbani kwa familia ya mke na mtoto mmoja?

    Isiwe iyo elfu kumi unataka kuku, au ww mwenyewe unakula kama mchwa na hamna vitu ndani me nilikuwa mwenyewe kwa siku natumia iyo elfu kumi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Huu ni ukweli sarah ndo alikuwa anamuweka mjini harmonize ndo maana sahiv anadata pesa imeisha
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Itakuwa watu humu ndani hamumjui Sarah, Sarah ndio alikuwa anampa kiburi harmonize kipesa mama yake Sarah ana mahoteli ya kitalii kama yote Zanzibar, na pia ana hotel za kifarahi italy, harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali na yy ndo alikuwa akigharamia, Harmonize alikuwa akienda kucheza...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

    Anaongea pumba tu
Back
Top Bottom