Mods tafadhalini msiunge na nyuzi zingine, hili ni toleo la online version
Hapo zamani tulizoea kucheza wawili kwa screen kugawanywa lakini kwa mapinduzi ya teknolojia tunaweza kushindana online kwa kutumia internet na MB chache sana.
KUDOWNLOAD NA KUCHEZA GAME
Game _MB 128 tu) >>>...
Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana.
Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
Niliwahi kumnunulia msaniii underground views elf 10 miaka ya 2013, video lilipata views wengi wa ziada wa hapa Tanzania maana system ya Youtube iliupa promo ikidhani ni views za kweli.
2015 nilinunua views elf 5 kwa video yangu, nilipata views za ziada 200 hivi
2017 Nilimnunulia msanii views...
Itakuwa ni game ya "V rally 2", nayo ilikuwa ya mashindano ya magari, zilikuwepo hizo option za kuchonga barabara na kuchagua hali ya hewa
Icheki hapa >> V Rally 2
Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed.
Unakumbuka kuicheza?
Ulikuwa na umri gani?
ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂
Dah ebhana ee!! mi nime cheza tangu 2002 hadi 2009, ilikuwa inapigwa knockout ya kufa mtu.
Nilikuwa...
Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro,
Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi
karibu kusoma post za...
Unatumia Winrar ? kama jibu ni ndio nikujuze kwamba kuna tundu kwenye matoleo ya zamani limejizolea umaarufu kusambaza virusi,
Virusi hivi vimekuwa vikiambatanishwa kwenye mafaili tunayoodowload, kushare, kuingiza kwenye flash, n.k. vipo vinavyochunguza unachofanya, vinavyoiba password...
Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji.
Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila nimeamua rasmi niingie kwenye ngoma nipate uhondo zaidi kuliko kuwa mtazamaji / msomaji.
Mnipe baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.